wanajf.
Hapa niko mpakani namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za rwizan zimetoka nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?
Tatizo watanzania tumeshajazwa ujinga na wanasiasa waliofilisika sera kuna ubaya gani Ridhiwan kuwa na magari au kuwa tajiri? au ina maana wengine wanahaki s na kuliko ridhiwani? watu kama hawa msiwape nafasi mawazo yao tutajenga tabaka kubwa sana ktk haki za binadamu.
May be you are missing the point, Kama Ridhiwani ana utajiri kama huo sio vibaya na hakuna mwenye husda na huo utajiri wake. Swala ni je, utajiri huo alionao ameupata kihalali i.e. hakuiba au hakupata kwa njia za kifisadi, amelipia kodi kiasi gani na huo utajiri wake, matajiri wote wakubwa kwenye biashara zao kodi zao zipo wazi, inaonyesha kalipa kiasi gani kwa mujibu wa sheria. Pesa kutoka kwa mfano EPA, au kujichukulia mpunga kutoka benki
Na wewe unajiona umechangia kwenye hii thread?
kama anajenga kwa hela za halali au mkopo naunga mkono kwa sababu watanzania watapata ajira,ila kama ni za wizi au madawa kama anavyoshutumiwa itakula kwake
ndio hao hao mkuu,we unafikiri kuna wengine!!...Ushahidi? Na hili ndilo linatumaliza WATANZANIA.. MAFUNUNU!!! Hakuna mtu anajiuliza TUNAJIKWAMUAJE!? Bali utajiri wa fulani na fulani ambao tunaona WANAUZA.. wale wasiouza au TUNAOWAPENDA UTAJIRI WAO WALA HATUNA MUDA WA KUUHOJI! sijui tunaelekea wapi...? tena afadhali huyo ameleta ajira je wale wanaozificha ughaibuni???
mbona sikusomi ndugu!ni kama unajibu kwa jazba sana,au na wewe umo humo?Siungi mkono hoja hii mambo ya kusema magari au kitu fulani ni cha mtu fulani bila ya kuwa na ushahidi wa ata wa kimazingira hii naikataa na umu JF tuikemee sana sababu hii trend ya kila magari na mabasi kuwa ya RIDHIWAN na kila maghorofa kuwa ya LOWASSA mimi naona ni utoto emu tuje na data ili tuende sawa.