Magari ya kawe...

Magari ya kawe...

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,345
yamekuwa ya shida sana, hasa hapa buguruni rosana, kila linalokua ama mwenge, au msasani. nimelazimika kuapanda hayo ya msasani ili nikaliunge pale moroko!
 
Pole sana na hongera kwa kuwa na plan B badala ya kusubiri solution kutoka jf. Keep the spirit up.
 
Nilitaka nikupitie na kiusafiri changu nikuchukue nikupeleke kawe si una Unaona hiyo Vokswagen yangu hapo kwenye Avater !!!
 
Wakati mwingine si vyema kujiendekeza, i had no choice broda! namshukuru mungu nimefika salama wa salmini!
 
Nilitaka nikupitie na kiusafiri changu nikuchukue nikupeleke kawe si una Unaona hiyo Vokswagen yangu hapo kwenye Avater !!!

Mhm? mwenzio tangu niko mdogo niliambiwa nisipende lifti, au protokali imebadilika?
 
Watu kama nyie mtaishia maskini. Kila wakati mnalalamika.
 
yamekuwa ya shida sana, hasa hapa buguruni rosana, kila linalokua ama mwenge, au msasani. nimelazimika kuapanda hayo ya msasani ili nikaliunge pale moroko!

Dah, na leo tena jameni! hii kero mpaka lini kwa abiria wa kawe?
 
Mbona magari yameshuka sana bei siku hizi. Ukiwa na mil. 12 unapata kabajaji kako saaafi kabisa.
 
Back
Top Bottom