Magari mengine kufika tanzania ndoto tazama hii!

Magari mengine kufika tanzania ndoto tazama hii!

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1405859831.006169.jpg Hili ni mojawapo ya gari ambalo lilitia fora sana katika wiki ya maonyesho ya magari yaliofanyika katika mji wa bavaria kusini mwa ujerumani ,gari ilo ambalo mpaka sasa aijajulikana ni kampuni gani waliobuni na kutengeneza lilishika namba moja katika maonyesho hayo pia nafasi ya 4 katika magari ghali sana hapa duniani, matajiri kadhaa wameonyesha nia ya kununua gari hilo
 
Umaarufu wote huo halafu eti haijulikani imetengenezwa na kampuni gani.. Km hujui usijifanye unajua!!
 
Kwa car fanatics hiyo lazma wapate nayo wazimu. Looks interesting.
 
Nadhani mtoa mada kuna kitu alisahau kusema, hayo maonyesho yatakuwa ni ya maonyesho ya vintage cars, magari ya zamani. Nakumbuka kuna mzungu mmoja mbabu na mkewe hapa Dar akiishi nyumba ya kwenye kona ya mtaa wa Uganda Ave, anamiliki gari number DSM-1 aina ya Royce Royce ya mwaka 1926 na ilikuwa inatembea, by that time huyo babu was around 80 in the earl 80's.

Wale ma singa singa wa Mwanza wenye Tanganyika Bus, nao pia wana Royce Royce mbili, kwa sasa zinapark pale Tilapia Hotel.

Mzee mmoja akiitwa Mahfudha alikuwa anapark pale barabarani, Ilala Sharif Shamba Mini Moris 3 za mbao za mwaka 1936 akiziwasha baada ya swala ya alfajir, haziendeshi na haziuzi!.

Pasco
 
Umaarufu wote huo halafu eti haijulikani imetengenezwa na kampuni gani.. Km hujui usijifanye unajua!!
wewe bado iyo kampuni aijaweka sawa mpaka kutaka kulitangaza rasmi ila nenda mtandaoni utalijua usipende kila kitu kutafuniwa
 
Back
Top Bottom