Magari matatu yametekwa usiku wa leo kambi ya simba mkomazi national pack

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
katika hali ya kusiktisha usiku wa kuamkia leo, kundi la majambazi wametega magogo na kuzuia barabara itokayo maeneo ya gonja, ndungu, mamba na kisiwani na kuwapekua .Abiria, gari moja baada ya hapo likapata ajali mbaya na kuwajerui .abiria majerui wamefikishwa hospitali ya Same
 
Dah! Mie niliposikia kambi ya simba nikajuwa ni wekundu wa msimbazi (rage boyz)
 
Back
Top Bottom