Magari haya yameachwa kuzalishwa?

Magari haya yameachwa kuzalishwa?

Yapo magari watu wananunua sasa ila uzalishaji uliisha 2007 !!
Mfano Toyota Brevis
 
hehehe mafundi wake wamezeeka labda :glasses-nerdy:
 
Yapo magari watu wananunua sasa ila uzalishaji uliisha 2007 !!
Mfano Toyota Brevis

Usiniambie mkuu! hii kitu imeanza kusumbua mwaka 2012 hapa Tz kumbe uzalishaji uligoma 2007? Nilikuwa nachanga changa kwenye kibubu changu labda litatoka brevis rangi ya bluu
 
Vipi haya magari ulishawahi kuyaona...??
AUSTIN..COMMER...MORIS....HILLMAN...VAUXHALL.HUMBER..PREFECT..PEUOGET 203,304,404,...DATSUN1600SSS DATSUN160J Ongezea mengine na picha kama unazo.
 
Vipi haya magari ulishawahi kuyaona...??
AUSTIN..COMMER...MORIS....HILLMAN...VAUXHALL.HUMBER..PREFECT..PEUOGET 203,304,404,...DATSUN1600SSS DATSUN160J Ongezea mengine na picha kama unazo.

Orvayani hayo magari si yapo Sana Europe na sie Africa soko letu kubwa ni Toyota
 
Mbona mengine bado yapo hapa Arusha...Mzee Naibala alikuwa na moja..Mzee Hassan Adan liko uwani Thames Trader,Mohammed Sadik pale Moshi anayo yanabeba mchanga.Hayo magari yalitumika huku miaka ya 60
 
Hebu search Toyota Brevis kwenye wikipedia uuone huo ukweli. Hata mimi ilinizingua na nilipoifuatilia ndo nikayakuta hayo.
 
...mkuu' kwa Suzuki Jimny JB23W yapo mengi' hadi mwaka 2015, sema bei yake iko juu sana, "FOB ni btn USD 15000$ to 19000$"

*ingia www.tradecarview.com

*kwa ...wide ilikuwa ni toleo la 1998-2000, yapo na zaidi ya mwaka huo lakini siyo mengi, bei ndiyo tatizo, wakati gari lenyewe ni dogo sana' "faida yake ni Low fuel consumption, na vinavumilia misukosuko ya barabara mbovu kama za bongo.

*TOYOTA Starlet kweli ni ya kitambo btn 1992-1998, " yanajulikana kwa jina la roho ya paka, navyo vinavumilia shida, kwa mishemishe ya mjini vinawafaa wajasiriamali.

E bwanae 19000$? Tutaishia na noah tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom