Ushauri kuhusu magari yenye engine ndogo

Samwel Ngulinzira

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,829
1,956
Nimesoma baadhi ya review kuhusu magari yenye injini ndogo nikakutana na vitu ambavyo kidogo vimenistua.

Hapa nazungumzia gari hasa zenye cc 650cc hadi 1000cc lakini kipaumbele ni hizi za 660cc. zifuatazo ni baadhi ya brand zenye gari hizi Suzuki alto, Suzuki kei, Suzuki jimny, Suzuki every, Mitsubishi pajero mini, Suzuki carry na nyingine nyingi.

Mfano kuna ambao wanadai wanapata mileage ndogo kwenye haya magari kama huyu hapa chini

Why does Mitsubishi Pajero Mini 1995 of 650cc consume more fuel for example 14-15km per litre yet a Toyota Tercel 1996 with 1330cc consumes 15-17km per litre? I thought that the small cc consumes less per litre Please kindly advise. Richard Olele.

Na akajibiwa hivi

There are several factors that affect the fuel consumption of a vehicle and engine size is only one of them. It seems logical that the smaller 1995 Pajero Mini 650cc (cubic capacity) engine should consume better than bigger 1996 Toyota Tercel 1,330cc 4EFE engine.

However, there are other dynamics which affect fuel consumption and override the engine size factor. In this case, the engine technology influences the fuel economy of the Mini and Tercel.

The electronic fuel injection with the double overhead camshaft drive train make the Tercel’s bigger engine more fuel efficient because the fuel amounts delivered are electronically determined. While the DOHC valve system ensures sufficient and timely delivery of air to guarantee better power of 66 kilowatts using lower engine revolutions of 5,500 rpm.

On the other hand Pajero Mini’s 4A30 engine has the less efficient old electro carburetor with the single overhead camshaft drive train. As a result, it provides a smaller engine power of 37 kilowatts at higher engine revolutions of 7,500 rpm. This makes the engine less efficient. The four wheel drive transmission type on the Pajero Mini adds load on the engine and the consumption of fuel.

The canopy like shape or design of the Pajero meets a lot of dynamic wind resistance which increases vehicle load on the small engine and fuel consumption. On the other hand,Tercel’s more aero dynamic saloon body meets less wind resistance and has better fuel economy.

The engine and tyre condition will also affect fuel consumption. If the engine spark plugs, air filter and throttle body of either car are not well maintained then it will not be fuel efficient. Over inflated or wrong tread type tyres may increase the fuel consumption of a vehicle regardless of its engine size.
Driving style also affects your fuel economy. Aggressive take offs, delay to shift from lower gears, idling for long in traffic jams and overloading may also make a vehicle with a smaller engine less fuel efficient.

To help improve the fuel consumption of your Pajero Mini, you ought to switch to Shell FuelSave unleaded petrol which lasts longer. It cleans your engine valves to prevent energy loss through accumulation of deposits which absorb and waste fuel. Fuel save unleaded has additives which lubricate the upper piston to allow less frictional loss of energy during piston movement to improve your fuel economy. Finally your driving style can also help save on fuel.

Ningependa kujua watumiaji wa haya magari mnakumbana na changamoto zipi kwenye mileage (fuel consumption per kilometer).

kuna forums hasa za asia nmeona watu wakipata hadi 24km/l with AC za urban.

Nafikiria kununua mojawapo ya gari hizi zenye cc 660, hivyo ushauri wenu ni muhimu. Ni kwa ajili yamizunguko tu sio kwa safari ndefu.

Kama kuna ambaye ametumia mojawapo ya gari hii pamoja na gari yenye 1300cc hasa Toyota naomba anipatie comparison. Kuna mahali nimesoma kwamba gari hizi 660cc hazitofautiani na Toyota 1300cc kwa sababu Toyota inatumia Variable valve timing with intelligence (VVT-i) ambayo inacontrol matumizi ya mafuta.
 
Kwa sababu umeshaonesha interest kwenye gari za cc 650-1000? Basi nunua tu then utakuja kutushauri from your observation.

Ila kama ungekua hauja declare interest yako ningekuambia kuwa usinunue gari ya below 1300cc. Hamna gari isiyokula mafuta mkuu. Unaweza kukwepa gharama za consumption ya mafuta aaaf gharama hyo ukailipa kwa matengenezo mengine ya gari.
Vigari vidunchu ni kama watoto wadogo tu. Kiukweli watoto hawali sana msosi ila wanaishi....but magonjwa ya ajabu ajabu kwao ni kawaida sana...na ukifanya annual calculation ya matibabu au route za mtoto hosptl utakuta gharama yake inaweza zidi hata kumlisha mtu mzima au kijana aliye balehe. Kwa upande wa magari iko the same.....utakanunua ka mzee passo, kweli utaenjoy utumiaji wake wa mafuta ila nakuhakikishia safari za garage zitakuhusu sana aseee na ukizingua kanakufa mazima.
Nawasilisha
 
Kwa hizo aina ulizotaja hapo juu
Gari zuri na imara kuliko yote ni Suzuki Jimny na fikiri inayofuata itakuwa Suzuku Kei;
Mitsubishi sikushauri naona vina kosa nguvu/pull baada ya muda mfupi; inawekena hiyo sababu huchangia vitumie mafuta mengi
 
upande wa magari iko the same.....utakanunua ka mzee passo, kweli utaenjoy utumiaji wake wa mafuta ila nakuhakikishia safari za garage zitakuhusu sana aseee na ukizingua kanakufa mazima.
Nawasilisha

Naam.
Umeandika udaku unaonuka mavi.
Mie namiliki gari uliyoiponda hapo, kwenda garage mara ya mwisho ilikua siku ya service.
 
Uliishia kununua gari gani?
Lete mrejesho wa matumizi ya mafuta kwa gari ulilonunua.
 
Kwa sasa natumia Suzuki Swift 2002 engine 1320cc. Kwenye mafuta iko poa ila nadhani unaelewa changamoto ya uendeshaji mjini. Naweza kuupgrade au kudowngrade kutokana na changamoto ya parking space.
Na mizunguko ya kila siku, pia hali ya barabara.
 
Wastani wa lita moja kwa km ngapi?
 
Kwa matazamo wangu kama umezielewa vizuri hizo factors zilizoandikwa hapo kwenye uzi wako,hutahitaji msaada mwingine zaidi kwani ni kama zimejitosheleza:

1.The four wheel drive transmission type on the Pajero Mini adds load on the engine and the consumption of fuel.
2.The canopy like shape or design of the Pajero meets a lot of dynamic wind resistance which increases vehicle load on the small engine and fuel consumption
3.Driving style also affects your fuel economy
4.The engine and tyre condition will also affect fuel consumption.
5.The engine technology influences the fuel economy of the Mini and Tercel...
 
Gari haili maji.wew unawaza fuel kwa CC 600+ ?? Ungekua unatumia 2500+?? Anyway mwisho wa siku nunua io Suzuki Kei
 
Kwa hizo aina ulizotaja hapo juu
Gari zuri na imara kuliko yote ni Suzuki Jimny na fikiri inayofuata itakuwa Suzuku Kei;
Mitsubishi sikushauri naona vina kosa nguvu/pull baada ya muda mfupi; inawekena hiyo sababu huchangia vitumie mafuta mengi
Pajero mini ni wastage of Money as a precious resource
 
Kwa sababu umeshaonesha interest kwenye gari za cc 650-1000? Basi nunua tu then utakuja kutushauri from your observation.

Ila kama ungekua hauja declare interest yako ningekuambia kuwa usinunue gari ya below 1300cc. Hamna gari isiyokula mafuta mkuu. Unaweza kukwepa gharama za consumption ya mafuta aaaf gharama hyo ukailipa kwa matengenezo mengine ya gari.
Vigari vidunchu ni kama watoto wadogo tu. Kiukweli watoto hawali sana msosi ila wanaishi....but magonjwa ya ajabu ajabu kwao ni kawaida sana...na ukifanya annual calculation ya matibabu au route za mtoto hosptl utakuta gharama yake inaweza zidi hata kumlisha mtu mzima au kijana aliye balehe. Kwa upande wa magari iko the same.....utakanunua ka mzee passo, kweli utaenjoy utumiaji wake wa mafuta ila nakuhakikishia safari za garage zitakuhusu sana aseee na ukizingua kanakufa mazima.
Nawasilisha
Nimependa jinsi ulivyoanalayse kuhusu mtoto
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom