Safi sana, Ila sahihisha kwenye heading Mto wa Mbu haiko Karatu iko Wilaya ya Monduli kwa mzee wa Mvi,
Hata ccm inataka kuwaomba mods wabadilishe tittle iwe ccm ya tishio mondulilabda aombe mods wamsaidie..
Safi sana, Ila sahihisha kwenye heading Mto wa Mbu haiko Karatu iko Wilaya ya Monduli kwa mzee wa Mvi,
wakuu
Tumekuwa na mkutano mzuri sana mto wa mbu,zaidi ya wanaccm 300 wamehamia CHADEMA,tumefungua ofisi mbili za kata za Eslalei na Kata ya Mto wa mbu
wakuu
Tumekuwa na mkutano mzuri sana mto wa mbu,zaidi ya wanaccm 300 wamehamia CHADEMA,tumefungua ofisi mbili za kata za Eslalei na Kata ya Mto wa mbu
kuna mkutano ulipagwa kufanyika Monduli lakini ukazuiwa na polisi dakika za mwisho kwa madai polisi watakuwa busy na kulinda viongozi wa kimataifa walioenda mbuga za wanyama baada ya kumaliza mkutano uliofanyika arusha..je mkutano huo nilini utafanyika..? naomba jibu kama una taarifaha za mkutano huo...
DAh hizo pamba za M4C nazisaka kama pepo!!
Uko wapi mkuu maana kama ni Arusha zipo sana tu....labda Magwanda ndiyo adimu....DAh hizo pamba za M4C nazisaka kama pepo!!