Magamba Bwana

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,419
1,920
Hata katika majonzi wanaleta siasa.......hawa wako Jiddah bado wanafanya kampeni za 2010

DSC03388.JPG


[h=3]POLE KUTOKA UMOJA WA TANZANIA, JEDDAH, SAUDI ARABIA[/h]BISMILLAHI RAHMANI RAHIMKWA NIABA YA TANZANIA WELFARE SOCIETY (TWS) JEDDAH, SAUDI ARABIA , KWA SIMANZI NA MASIKITIKO MAKUBWA TUNAOMBELEZA MSIBA MKUBWA ULIOTOKEA HUKO ZANZIBAR WA KUZAMA KWA MELI MV SPICE ISLANDERS , TUNAOMBA KWA MWENYEZIMUNGU MTUKUFU MUUMBA WETU AWA LAZE WOTE WALIOFARIKI KAMA MASHAHIDI KWENYE PEPO YAKE- AL-FIRDOUS.POLE KWA TANZANIA NA WATU WAKE MUNGU ATUBARIKI NA ATUPE AMANI.ABDULHAKIM AKRABICHAIRMAN (TWS)JEDDAH, SAUDI ARABIA
 
Ngoja nao huko waanze maandamano kama syria,libya, egypt,tunisia..tuone watakimbilia wapi.
 
Siasa Tanzania ni kokote..hazikwepeki na wasiwasi wangu ni pale hata hatujajua nani tumwajibishe tumeshaanza mtindo wa kupongezana..Kikwete anampongeza Shein..Shein naye anampongeza Maalim..Maalim naye anampongeza Mwema. nakadhalika...Na kilichonikera ni hilo Baraza la Ulinzi na Usalama wa Taifa..yaan porojo tu!!!Alichosoma Luhanjo ni Ngonjera tu..upuuzi mtupu!
 
Back
Top Bottom