Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,500
- 17,554
shida kubwa iliyopo kwa kwa waislam wengi ni kuongozwa Zaid na emotions za kidini
uwezo mdogo wa
a) reasoning
b) analysing
c) Evaluation logic za kiDunia na mambo ya Imani (spiritual)
siwezi kushanga muislam akilishwa vifungu kila siku kuhusu Imani yake kila siku dini ikamuingia sawasawa utaona nyendo zake zinavyo change chuki dhidi ya dini nyingine inazidi kuwaka moyoni mwake huyu mtu kuvaa bomb haoni shida anakufa shujaa (Shaheed) na ataiona pepo akipewa na zawadi ya mabikra na mito inayotililika mvinyo
ndio maana unaona mfano mzuri hii vita ya Palestine-Israel
Hamas walivyo invade Israel na kuua wayahudi ilikua sikukuu huku wakiimba Allah akubar
alshabaab wa somalia wanatafuta haki ya kusimika utawala wa kiislam,wako sawa kabisa kwa mujibu wa imani yao.
nchi ya somali ina waislam 99.9% ila haifati misingi ya tawala za kiislam,ndicho ugomvi wao.
Na ADF kule kongo wanataka kusimika utawala gani wakati waislam ni asilimia ndogo?!
Wamejinasibisha na isisADF wana mission yao nyingine,wala hawajajinasibisha na dini wala imani yoyote.
na kama wataamua kujinasibisha na ukristo tutawakataa live live.
Wamejinasibisha na isis
Hehehehehe aiseeKutenganisha Salamaleko na Ugaidi ni nguma kama kutenganisha Vumbi na mchanga.
Sasa kazi ya mungu wenu Allah ni nini?
Kastarehe tu huko alipo huku akisubiri mumpiganie? Tena huku mkimsifu eti mungu ni mkubwa! Ukubwa wake ni upi sasa?
Au ni kipofu haoni mnavyodhurumiwa?
Hao magaidi ni waislam typically hata alama na matendo yao ni ya kiislam. Kitendo cha wale magaidi waliovamia west gate na kuanza kuwatambua waislam kwa kuwapa zoezi la kutamka maneno ya kiislam kama hujui unakula shaba. Ingekuwa si waislam wasingetumia uislam kama itikadi yao. Kuna Taleban/al qaeda na ISIS wanatumia quran kama nembo yao ikizungukwa na bunduki au panga. Mtu asiye muislam akiuchezea uislam dunia nzima waislam wanaandamana. Sasa kama mnawaruka magaidi wenu kwa nini msiwapinge na kuwatangazia fatwa waache kutumia uislam kupambania maslahi yao? Mbona huwa mnawasifu wakifanya mauji? Hamuwezi kujinasua na magaidi hayo ni ngumu kubalini tu kuwa uislam ni ugaidi totally
Uislamu ni ugaidi. Huwezi kuvitengaSawa, kwahiyo kwa msomaji wa kawaida unamwambiaje?kwa lugha nyepesi.
Hamas na Hezbollah siyo magaidi ni watu wanaopigania Haki yao kwenye ardhi yao.
Sasa kwanini harakati ziendane na mauaji?? Wanashindwa kufanya harakati za staha mpaka waue. Dini hizi mimi ndio nimeamua niishi kimpango wangu.alshabaab wa somalia wanatafuta haki ya kusimika utawala wa kiislam,wako sawa kabisa kwa mujibu wa imani yao.
nchi ya somali ina waislam 99.9% ila haifati misingi ya tawala za kiislam,ndicho ugomvi wao.
Sasa kwanini harakati ziendane na mauaji?? Wanashindwa kufanya harakati za staha mpaka waue. Dini hizi mimi ndio nimeamua niishi kimpango wangu.
ha haha ha, vijana wa R-chuga wanasema bangi haijawa mwacha mtu salamaKutenganisha Salamaleko na Ugaidi ni nguma kama kutenganisha Vumbi na mchanga.
masikitiko makubwa sana, sasa sisi huku Africs tunaambiwa ni dini ya Amani, inakuwaje hapo?Uislamu ni ugaidi. Huwezi kuvitenga
Janjaweed wameua watu takribani 700 Sudan, mbona mko kimya?
Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened! Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au...www.jamiiforums.com
Hata mimi nashangaa, eti unaua kupambania dini iwe iliyoletwa na Jahazi au mrumi.Sasa kwanini harakati ziendane na mauaji?? Wanashindwa kufanya harakati za staha mpaka waue. Dini hizi mimi ndio nimeamua niishi kimpango wangu.