Wale walikuwa majambazi tu mstake kupotosha umaNisaidieni. Tofauti kati ya hawa wa kule, mohamadi mwenye dini yake, wale magaidi waliochinja binadamu msikitini kule mwanza wakisema wanawatetea waislam wanaoshikiliwa na polisi, waislam waaoshikiliwa na polisi na waislam wengine ni ipi hasa? Naomba ufafanuzi.
Nakuomba ufanye kitu kimoja angalau kwa tukio hili - toa kauli ya kuwalaani magaidi wa kiislamu wanaotaka kuvuruga dunia kwa matendo yao ya kishetani. Haikupata kusikika popote ukifanya hivyo ...
Huujui uwislam ndomana unasema hivyo na Namshkuru sana mungu kuzaliwa muislam nasijutii na wala sikulazimishi uwamini ninachokiamini wewe unadini yako na mimi nina dini yangu huamini ninachokiabudu na mimi sitaabudu unachokiabudu coz anayeongozwa na m/mungu binadamu huwezi kumpoteza na aliyepotezwa na m/mungu binadamu huwezi kumuongoza uwislam ni dini ya amani na upendo waislam sio magaidi bali wapo wanao uchafua uwislam kwa mathumuni yao miaka ya themanini na tisini mbona ugaidi haukuwepo jiulize ugaidi huu umeanzishwa nataifa gani usiongee vitu usivyo vijua uwislam sio ugaid
Jini limeamua kutoka ndani ya chupa lilimokuwa limefungiwa. Limemaliza majirani sasa limerudi nyumbani; mdogo mdogo limeanza kutafuna watoto wa anayelifuga. Likimaliza litamla na yeye ...Naona magaidi wameamua kugeuza kibao na kurudi nyumbani.
Kwa maneno ya mdomoni ni sawa ni dini ya amani lakini kwa vitendo ni dini ambayo imeleta shida,huzuni na taabu nyingi sana duniani kuliko dini zote.Hao wanaofanya ivyo sio waislam muislam wa kweli hawezi kuwa gaidi bali hao wanaofanya ivyo wanachafua tu waislam kwa mathumuni yao. Dini ya kislam ni dini ya amani na upendo
Kwa mfano shida gani? anayeivuruga hii dunia humjui au hulijui ilo taifa? ni kukumbushe tu ni us ndio inayoleta shida kubwa katika hii duniaKwa maneno ya mdomoni ni sawa ni dini ya amani lakini kwa vitendo ni dini ambayo imeleta shida,huzuni na taabu nyingi sana duniani kuliko dini zote.
That is Islamic old song Waislam hawaachi kusingizia kwa kila jambo US au Israel kwa kila udhaifu wao.Kwa mfano shida gani? anayeivuruga hii dunia humjui au hulijui ilo taifa? ni kukumbushe tu ni us ndio inayoleta shida kubwa katika hii dunia
Wewe usiseme hivyo. Muslims hawezi kufanya hivyo? Wewe ndo uko ndani ya roho za hao Muslims? Imani ni ya mtu mmoja mmoja. Usidhani unavyoamini wewe na ulivyocommited kwa imani yako ukadhani wote wako kama wewe. Roho mbaya haina dini. Haina cha uislamu, ukristo, uyahudi, Ubudha au uhindu. Mtu yeyote regardless of religion affiliation anaweza kufanya hivyo.Siwezi kumlaani yeyote kwa sababu sijuwi aliyefanya hayo ni nani na kwanini. Na nnaamini Muislam hawezi kufanya hayo.
Heheheheeeee! !!!Siwezi kumlaani yeyote kwa sababu sijuwi aliyefanya hayo ni nani na kwanini. Na nnaamini Muislam hawezi kufanya hayo.