Magaidi wa shambulio la Moscow wanaendelea kusulibiwa

Hizi picha hazifunguki
Nunua simu ya maaana dogo
Hatari mno

Historia zao inaonekana walikuwa watu wastaarabu mno, ila walipotea ghafla, labda ndio walipata "ilim" huko ya ugaidi. Kama Muhammadsobir Fayzov ni kijana mdogo mwenye miaka 19. Watu wa mtaani kwake wanasema ni kinyozi mzuri tena mpole ila alipotea muda mrefu, ghafla leo wanamuona anafanya mauaji ya watu Moscow.



Tahadhari, hapa Tanzania kuna vijana wengi mno wamepotea hawajulikani walipo mpaka sasa, je hawajaenda kupata "ilim" toka kwa magaidi?



View: https://x.com/DD_Geopolitics/status/1772018029691334979?s=20

Noma sana dogo anajuta
 
Njia ambayo FSB uwa wanaitumia kukufanya uongee na utaongea tu ni kukusanya ndugu zako wako wote kuanzia wazazi wako na kuwapatia mateso makali mno ,hapo hakuna mtoto anayeweza kuvumilia kumuona mzazi ambaye hana kosa kwenye hali hiyo lazima utasema kumnusuru mzazi wako. Hiyo ndio KGB
Hiyo njia ya kuteka relatives ilitumiwa na KGB mara moja tu, na walilazimika hivyo ili kuokoa mateka wake. Huwezi sema "huwa wanatumia".
Na huwa wana rekodi mbaya ya kuokoa mateka, yani Warusi wakienda kuokoa mateka ujue mateka wengi watakufa. Wanatumia nguvu nyingi sana.
 
Sweden wana thamini uhuru wa watu kuliko jambo lingine lolote, watakuwa wa mwisho dunia hii kuminya uhuru wa raia wao kwa sababu ya wanazi wa dini au kundi lolote.
Mbona sasa bunge la nchi hiyo limetunga sheria ya kuharamisha kuchomwa kwa vitabu vya dini baada ya tukio hilo?

Tofautisha uhuru na chuki.
 
Waislamu wanachafua Dunia kwa mashambulio ya Kigaidi. Kule India wanachukiwa mpaka leo wakionekana hadharani wanapigwa. Huko Ulaya ndiyo washaanza kuharibu maana wengi wamezamia huko na Sweden ipo hatarini kutokana na ugomvi wao uliopelekea kuchomwa ka misahafu.

Raia wengi wa Ulaya wameanza kuzilaumu serikali zao maana kuwapa watu vibali na uraia kuishi nchi zao inaenda kuwa hatari kwao wenyewe.
Chuki dhidi ya uislam itakukaba mpaka ita kuuwa.
 
Hata wewe ukiambiwa uchague kuishi kati ya Sweden, Marekani au China, Urusi, Uarabuni utakimbilia Sweden na Marekani.
Ww jamaa unajitiaga msomi kumbe ni 0 kabisa, ww unaye ona umagharibi ni kama umungu mbona hujaenda kuishi huko Marekani na Sweden badala yake umebanana hapa unapelekwa mputa na CCM?
Huja enda sio kwa sababu huwezi kwenda au huwezi kuishi huko ,ahuendi kwa sababu huna sababu ya kukupeleka huko.

Binadamu huwa ana ishi sehemu kutokana na mahitaji husika katika maisha yake na ndio maana pia kuna raia wa hiyo Marekani na Sweden ambao wameondoka kwenye nchi zao na kwenda kuishi kwenye nchi zingine ambazo hazina huo uhuru unao usema.
 
Mwezi mtukufu wa Ramadhani unawatia nguvu kufanya haya mambo.


Anyone seeking support for armed jihad in the name of Allah will find ample support in the passages in the Quran and Hadith that relate to Mohammed’s Medina period. For example, Q4:95 states, “Allah hath granted a grade higher to those who strive and fight with their goods and persons than to those who sit (at home).” Q8:60 advises Muslims “to strike terror into (the hearts of) the enemies, of Allah and your enemies, and others besides, whom ye may not know, but whom Allah doth know.”

This article was published more than 8 years ago

An expert's point of view on a current event.

Islam Is a Religion of Violence​

Can the wave of violence sweeping the Islamic world be traced back to the religion's core teachings? An FP debate about the roots of extremism.​

By Ayaan Hirsi Ali
GettyImages-477854547_960
GettyImages-477854547_960
NOVEMBER 9, 2015, 11:01 AM
In the past few weeks, both Russia and the United States have escalated their military campaigns against the Islamic State. As the brutal jihadist group continues to wreak havoc in Syria and Iraq, Foreign Policy’s Peace Channel, a partnership with the United States Institute of Peace, asked Ayaan Hirsi Ali, author of Heretic: Why Islam Needs a Reformation Now, and United States Institute of Peace acting Vice President Manal Omar, one of the foremost voices on peace and Islam, to debate what is behind this newest breed of extremism and how can it be defeated. In the age of al Qaeda, the Islamic State, and Boko Haram, is there a link between the violence these groups perpetrate and the faith they profess? (Read Manal Omar’s piece here.)
In the 14 years since the attacks of 9/11 brought Islamic terrorism to the forefront of American and Western awareness and then-President George W. Bush launched the “Global War on Terror,” the violent strain of Islam appears to have metastasized.

With tracts of Syria and Iraq in the hands of the self-styled Islamic State, Libya and Somalia engulfed in anarchy, Yemen being torn apart by civil war, the Taliban resurging in Afghanistan, and Boko Haram terrorizing Nigeria, policymakers are farther away from eliminating the threat of violent Islamism than they were when they began the effort.


But does this violent extremism stem from Islam’s sacred texts? Or is it the product of circumstance, which has twisted and contorted Islam’s foundations?

To answer this, it’s worth first drawing the important distinction between Islam as a set of ideas and Muslims as adherents. The socioeconomic, political, and cultural circumstances of Muslims are varied across the globe, but I believe that we can distinguish three different groups of Muslims in the world today based on how they envision and practice their faith.


The first group is the most problematic — the fundamentalists who envision a regime based on sharia, Islamic religious law. They argue for an Islam largely or completely unchanged from its original seventh-century version and take it as a requirement of their faith that they impose it on everyone else. I call them “Medina Muslims,” in that they see the forcible imposition of sharia as their religious duty, following the example of the Prophet Mohammed when he was based in Medina. They exploit their fellow Muslims’ respect for sharia law as a divine code that takes precedence over civil laws. It is only after they have laid this foundation that they are able to persuade their recruits to engage in jihad.
Source : Islam Is a Religion of Violence
 
Magaidi wa Ukraine na Marekani waliokamatwa baada kufanya shambulio la uoga wanaendelea shoti za kende huku mwingine alikatwa sikio na kisu jana baada ya kukamatwa, Zoezi Hilo la upigaji shoti linasimamiwa kikamilifu na FSB ili watoe taarifa zaidi...... wakati huo huo DUMA wamerudusha hukumu ya kifo Nchinj Russia
..
⚡️Interrogation of the Moscow Crocus terrorists is being done with the help of electric shock to the balls therapy aka Russian "data recovery technology".

🚨This terrorist is about to tell the investigators things that even he didn't realise he knew.
kusulubiwa kende? Ndio nini?
 
Hao jamaa ni magaidi ila wanapenda hela. Maana ISIS waliwapa na mabomu ya kujilipua ili wafe. Inaonekana hawakuyavaa au kuyatumia. Walikuwa wana njaa ya hela.


Pia kunatetesi kwenye jeshi la Ukraine kuna watu walikuwa wapiganaji wa zamani wa ISIS-K ndio inaonekana walipanga nao tukio. Ndio maana walikuwa wanataka kukimbilia Ukraine kwa washkaji wao. Maana hao jamaa 4 ni wazoefu wa kutumia silaha, je utaalam huo waliutoa wapi? Uwezo wa kupanga mauaji waliutoa wapi?
Wacha upuuzi, wakimbilie Ukrainę mpaka ambao wote unakaliwa na Urusi?

Russia wajilaumu wenyewe kupuuza walichoambiwa. Ukraine haihusiki.
 
Ww jamaa unajitiaga msomi kumbe ni 0 kabisa, ww unaye ona umagharibi ni kama umungu mbona hujaenda kuishi huko Marekani na Sweden badala yake umebanana hapa unapelekwa mputa na CCM?
Huja enda sio kwa sababu huwezi kwenda au huwezi kuishi huko ,ahuendi kwa sababu huna sababu ya kukupeleka huko.

Binadamu huwa ana ishi sehemu kutokana na mahitaji husika katika maisha yake na ndio maana pia kuna raia wa hiyo Marekani na Sweden ambao wameondoka kwenye nchi zao na kwenda kuishi kwenye nchi zingine ambazo hazina huo uhuru unao usema.
Na CCM tunampelekea moto na Hana Cha kufanya

Mwambie hata wamarekani wengine wamekimbilia Urusi na China na wanaishi maisha yao mazuri
 
Back
Top Bottom