Miaka michache iliyopita ilibaki tung'oane vichwa. Ooo mafuta si ya muungano aa mara ni yetu wote mara oo si yenu maadamu mabishano tu.Hivi wapendwa hayo mafuta Zanzibar yaliishia wapi? Bado yapo?
Teh teh teh!maneno ya viweni,ukweli ni kwamba Zanzibar hakuna mafuta ni ni nchi yenye rasilimali chache (Nchi Maskini) sana!Mafuta yako na yatachimbwa na Shell ya Uholanzi MKuu na ujumbe wake wamesha sign MoU na tetesi za mafuta ziko Zanzibar tangia waka 1958.
Mkuu Zanzibar hakuna mafuta!Ni ya muungano piga ua!
Mkuu issue siyo kupita,ukweli ni kwamba Zanzibar hakuna mafuta na ndiyo maana wapo kimya !nchi ya upepo tu hiii wewe mgeni nini... lishapita hilo
nchi ya upepo tu hiii wewe mgeni nini... lishapita hilo
Miaka michache iliyopita ilibaki tung'oane vichwa. Ooo mafuta si ya muungano aa mara ni yetu wote mara oo si yenu maadamu mabishano tu.Hivi wapendwa hayo mafuta Zanzibar yaliishia wapi? Bado yapo?
mafuta ya nini?
Zanzbar wanatengezza mafuta ya viungo (spices) zote uzijuazo na usizosijuwa.
Ikiwa una maana ya mafuta ya kuchimbwa, kazi imeanza na inaendelea na haina uhusiano wowote na muungano.
Mkuu Zanzibar hakuna mafuta!