TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,046
Watayasikia tu kwa majirani zao!Walizidi mchecheto wameumbuka!!!

Ni ya muungano piga ua!
Zanzibar President Ali Mohamed Shein greets the head of Dutch Shell Oil company, Mr Peter Voser, on arrival at The Hague, Netherlands, on Thursday. Dr Shein is on a five-day official tour of the country.
Country Chairman of Shell Deepwater Tanzania, Axel Knospe, (left) signs MOU with the Minister for Lands, Housing, Water and Energy of the Revolutionary Government of Zanzibar Hon. Ramadhani Abdalla Shaaban.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamo wa Rais pia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari ya Rotterdam,Rene Van Der Plas,alipotembelea katika bandari hiyo akiwa katika Ziara ya siku tano na ujumbe wake, nchini Uholanzi, {Picha na Ramadhan Othman Uholanzi].
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Mitambo ya usambazji wa Gesi inayotumika katika nchi za ulaya,(GATE TERMINAL) Dick Meurs,alipokuwa akitoa maelezo kwa Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,ukioongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ziara nchini Uholanzi. [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)na ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Mitambo ya usambazji wa Gesi inayotumika katika nchi za ulaya,(GATE TERMINAL) Dick Meurs,walipofika katika Ofisi za Kituo hicho huko katika Bandari ya Rotterdam,nchini Uholanzi katika ziara ya siku tano. [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)na Mawaziri pamoja na Balozi Dr.Diadorus B. Kamala,(wa pili kulia)wakizungumza na Makamo wa Rais pia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari ya Rotterdam, Rene Van Der Plas,walipokuwa katika Boti walipoitembelea Bandari ya Rotterdam Nchni Uholanzi wakiwa katika ziara ya siku tano nchini humo.[Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiwa na wawakilishi wa Makampuni yanayotaka kuwekeza Zanzibar wakiwa katika mazungumzo ya kujadili nanama ya kufikia hatua za kuwekeza Nchini,wakati alipokuwa katika ziara Nchini Uholanzi itakayochukua siku tano,ambapo atatembelea sehemu kadhaa za kimaendeleo katika nchi hiyo. [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) na ujumbe wake wakipata maelezo ya ramani ya Ujenzi wa Bandari na Mpango mzima wa utendaji kazi kutoka kwa Makamo wa Rais pia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari ya Rotterdam, Rene Van Der Plas, alipotembelea katika Ofisi za Bandari hiyo akiwa katika Ziara ya siku tano nchini Uholanzi na ujumbe aliofuatana nao. [Picha na Ramadhan Othman Uholanzi].
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha na Mfalme wa Uholanzi Willem Alexander,alipomtembelea kat5ika makazi yake nchini Uholanzi,rais akiwa katika ziara ya siku tano. [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wawakilishi wa Makampuni wakati alipowasilim katika Chakula cha jioni kilichoandaliwa na Famili ya Mfalme panoja na makampuni nchini Uholanzi akiwa katika ziara ya siku tano nchini humo. [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Teh teh teh!maneno ya viweni,ukweli ni kwamba Zanzibar hakuna mafuta ni ni nchi yenye rasilimali chache (Nchi Maskini) sana!

Kamuulize Pinda.:help:Zanzibar nchi au si nchi?
Watayasikia tu kwa majirani zao!
Zanzibar and Shell to cooperate in gas, oil sector

By In2EastAfrica Reporter
Fri, Aug 30th, 2013
The largest European oil producer, Royal Dutch Shell plc ("Shell") and the Revolutionary Government of Zanzibar have signed a Memorandum of Understanding on cooperation between the two parties.
Zanzibar President Ali Mohamed Shein greets the head of Dutch Shell Oil company, Mr Peter Voser, on arrival at The Hague, Netherlands, on Thursday. Dr Shein is on a five-day official tour of the country.
The largest European oil producer, Royal Dutch Shell plc ("Shell") and the Revolutionary Government of Zanzibar have signed a Memorandum of Understanding (MoU) on exploitation of gas and oil recently discovered in the Isles.
The MOU describes in particular the initial activities related to Oil and Gas capacity building and Youth Development activities supporting the development of skills amongst Youth, including educational initiatives and entrepreneurial skills and capabilities.
Shell holds at least four exploration licenses off Zanzibar and is working with Petroleo Brasileiro SA (PETR4), according to Tanzania Petroleum Development Corp.
Shell's representative in Zanzibar Axel Knospe said they are committed to a strong relationship with Zanzibar and when appropriate, to start undertaking exploration activities in a sustainable, economically, socially and environmentally responsible way.
On his part Minister for Land, Housing, Water and Energy of the Revolutionary Government of Zanzibar Ramadhani Abdalla Shaaban said that the signing of the MoU is a "big step in the right direction" towards the Government's efforts in developing the energy sector in Zanzibar.
Analysts in the oil and gas sector would likely view this as a significant move since it's a shift from the past when the Hague-based company had to put some exploration activities in the Zanzibar waters over political debates in the Zanzibar House of Representatives.
Currently, Zanzibar President Ali Mohamed Shein is on official tour in Netherlands and is said to have visited the company yesterday morning.
Shell has said in the past that the agreement between Tanzania mainland and Zanzibar on managing oil and gas resources would allow the company to advance exploration in the Indian Ocean.
President Jakaya Kikwete and Zanzibar President Ali Mohamed Shein last year agreed to begin preparations for the management of oil and gas resources, Tanzania are reported late last year.
Country Chairman of Shell Deepwater Tanzania, Axel Knospe, (left) signs MOU with the Minister for Lands, Housing, Water and Energy of the Revolutionary Government of Zanzibar Hon. Ramadhani Abdalla Shaaban.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamo wa Rais pia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari ya Rotterdam,Rene Van Der Plas,alipotembelea katika bandari hiyo akiwa katika Ziara ya siku tano na ujumbe wake, nchini Uholanzi, {Picha na Ramadhan Othman Uholanzi].
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Mitambo ya usambazji wa Gesi inayotumika katika nchi za ulaya,(GATE TERMINAL) Dick Meurs,alipokuwa akitoa maelezo kwa Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,ukioongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ziara nchini Uholanzi. [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)na ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Mitambo ya usambazji wa Gesi inayotumika katika nchi za ulaya,(GATE TERMINAL) Dick Meurs,walipofika katika Ofisi za Kituo hicho huko katika Bandari ya Rotterdam,nchini Uholanzi katika ziara ya siku tano. [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)na Mawaziri pamoja na Balozi Dr.Diadorus B. Kamala,(wa pili kulia)wakizungumza na Makamo wa Rais pia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari ya Rotterdam, Rene Van Der Plas,walipokuwa katika Boti walipoitembelea Bandari ya Rotterdam Nchni Uholanzi wakiwa katika ziara ya siku tano nchini humo.[Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
![]()
Baadhi ya Meli za Mizigo kutoka Nchi mbali mbali ikiwemo China,ni miongoni mwa Meli zinazotia nanga katika Bandari ya Rotterdam, Nchini Uholanzi kama inavyoonekana pichani ikiwa imesheheni makontena yenye Bidhaa mbali mbali. .[Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiwa na wawakilishi wa Makampuni yanayotaka kuwekeza Zanzibar wakiwa katika mazungumzo ya kujadili nanama ya kufikia hatua za kuwekeza Nchini,wakati alipokuwa katika ziara Nchini Uholanzi itakayochukua siku tano,ambapo atatembelea sehemu kadhaa za kimaendeleo katika nchi hiyo. [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) na ujumbe wake wakipata maelezo ya ramani ya Ujenzi wa Bandari na Mpango mzima wa utendaji kazi kutoka kwa Makamo wa Rais pia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari ya Rotterdam, Rene Van Der Plas, alipotembelea katika Ofisi za Bandari hiyo akiwa katika Ziara ya siku tano nchini Uholanzi na ujumbe aliofuatana nao. [Picha na Ramadhan Othman Uholanzi].
![]()
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha na Mfalme wa Uholanzi Willem Alexander,alipomtembelea kat5ika makazi yake nchini Uholanzi,rais akiwa katika ziara ya siku tano. [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wawakilishi wa Makampuni wakati alipowasilim katika Chakula cha jioni kilichoandaliwa na Famili ya Mfalme panoja na makampuni nchini Uholanzi akiwa katika ziara ya siku tano nchini humo. [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Baadhi nya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya zanzibar ,wakiwa katika Ofisi ya bandari ya Rotterdam Nchinbi Uholanzi wakiaptiwa maelezo mbali mbalim ya kiutendaji.{Picha na Ramadhan Othmann,Uholanzi,}![]()
CHEZEA WAZANZIBARI WEWE:tape: