Mafuta yazidi kushuka bei kwenye soko la dunia

Mafuta yazidi kushuka bei kwenye soko la dunia

Bei ya mafuta hapa bongo nayo inatakiwa ishuke , tubasubiri ewura jumatano ya kuitangaza Bei , Hivi ewura hawajui management accounting ? Topic ya relevant cost ! Inayosema price of raw material ( goods) bought in store is irrelevant for pricing decision making ?

Net realizable value or replacement cost In market are ( is) relevant for pricing decision making , kwa hiyo tunategenea Bei iliyoshuka ndio iwe sokoni , huyo alisema tumenunua stock nyingi hajui asemalo
 
Bei imeshuka halafu hakuna kwa kwenda kila mahali nI lockdown!
Huu mwaka sijui!
 
Mwezi huu imeshuka kutoka 2265 hadi 2204(Dar). Mwezi ujao (jumatano ya kwanza ya mwezi) itashuka tena. Kuna sales manager wa moja ya makampuni makubwa alisema inaweza kushuka hadi 1800 miezi michache ijayo.
 
Tuangalie bei za mafuta kwa wenzetu walioendelea tulinganishe na kwetu
Screenshot_20200319-063145.png
 
Nafikiri mnaona hapo bei yetu ya mafuta ni chini ya $1 kwa lita moja.
Bado Bei Ni kubwa unilinganisha na mporomomoko wa Bei ya dunia, inabidi mpaka Sasa Lita moja iuzwe tsh 800 mpaka 500 .... Kama Brent inauzwa chini ya dola 30 kwa pipa kwa nini sisi tununue Lita moja kwa dola 1 huoni hii nchi wizi ni mwingi...


Kwa wanaofanya forex nadhani mtakuwa mnanielewa wit na usoil Bei ilivyo sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri mnaona hapo bei yetu ya mafuta ni chini ya $1 kwa lita moja.
Wewe utakuwa ni mfanyakazi wa Ewura.Ni kweli yako chini ya dola 1 kwa kiasi kdg sana.Inatakiwa yashuke sana.

Sisi huwezi kutulinganisha na Italy,France,UK nk ambao kwao mafuta yanazidi dola 1 kwa Lita.US na Canada yapo chini ya dola 1 na wapo vzr kiuchumi.Cc watu kibao tunaishi chini ya dola 1,hayo mataifa ya Ulaya na US huwezi kuishi.Hivyo usilinganishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado Bei Ni kubwa unilinganisha na mporomomoko wa Bei ya dunia, inabidi mpaka Sasa Lita moja iuzwe tsh 800 mpaka 500 .... Kama Brent inauzwa chini ya dola 30 kwa pipa kwa nini sisi tununue Lita moja kwa dola 1 huoni hii nchi wizi ni mwingi...


Kwa wanaofanya forex nadhani mtakuwa mnanielewa wit na usoil Bei ilivyo sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa, mafuta yanatakiwa yashuke kwa kiwango ambacho hakijawahi kuwepo kabla....Vinginevyo tunaibiwa tu
 
Hii ndio njia inayotupelea kwenye Ile collapse of PETRODOLLAR...hii kitu marekani alianzisha kupitia Henry Kissinger cha kuuza kila tone la mafuta kwa kutumia dollar tuu inafikia ukomo. Marekani amekua akilazimisha kila nchi yenye mafuta kuuza mafuta kwa dollars za usa.sasa China mnunuzi mkubwa wa mafuta ameshachoka..

Anataka atumie hela yake kununulia mafuta..hiyo itamkosesha USA hela za bure alizokua anafaidi kupitia helazake kutumika...Russia nao pia wanaitikisa kampuni kubwa ya shale ya kimarekani..saudi hatakikumpoteza mtejawake china soo anafkiria kuitosa marekani...

Na marekani ashamuonyaga mfalme wa saudia kua hawezi kudumu madarakani zaidi ya wiki moja kama hatolindwa na marekani..soo tusibirie tuone itakuaje
 
Ni beef la russia/saudia vs wafanya biashara wa mafuta wa USA. So wamefungulia mengi kuwakomoa hao wafanya biashara/suplpliers wa usa thats why yameshuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Russia hataumia sana kwasababu amejiandaa. Yale makampuni ya Shale kule USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ninakumbuka vizuri nadhani mwanzo wa bifu ni Saudia na Russia. Russia aliwagomea Saudia kupunguza bei ndipo Saudia akaenda kufungulia mabomba yake ili kushusha bei. Sikufuatilia vizur ila mnaweza mkanirekebisha
 
Safari hii wafanyabiashara wamekaa na serikali na kuomba wasiagize mafuta kwani Wana akiba kubwa Ila ukiunganisha dot utagundua ni ujanja kwa sababu bei imeanguka Sana na wao wanaagiza kutokana na mahitaji ya nchi
 
Hii ndio njia inayotupelea kwenye Ile collapse of PETRODOLLAR...hii kitu marekani alianzisha kupitia Henry Kissinger cha kuuza kila tone la mafuta kwa kutumia dollar tuu inafikia ukomo. Marekani amekua akilazimisha kila nchi yenye mafuta kuuza mafuta kwa dollars za usa.sasa China mnunuzi mkubwa wa mafuta ameshachoka..anataka atumie hela yake kununulia mafuta..hiyo itamkosesha USA hela za bure alizokua anafaidi kupitia helazake kutumika...Russia nao pia wanaitikisa kampuni kubwa ya shale ya kimarekani..saudi hatakikumpoteza mtejawake china soo anafkiria kuitosa marekani...na marekani ashamuonyaga mfalme wa saudia kua hawezi kudumu madarakani zaidi ya wiki moja kama hatolindwa na marekani..soo tusibirie tuone itakuaje
Hayo Mambo ndiyo yalimfanya mmarekani kumwondoa gadaf madarakani
 
Wewe utakuwa ni mfanyakazi wa Ewura.Ni kweli yako chini ya dola 1 kwa kiasi kdg sana.Inatakiwa yashuke sana.Sisi huwezi kutulinganisha na Italy,France,UK nk ambao kwao mafuta yanazidi dola 1 kwa Lita.US na Canada yapo chini ya dola 1 na wapo vzr kiuchumi.Cc watu kibao tunaishi chini ya dola 1,hayo mataifa ya Ulaya na US huwezi kuishi.Hivyo usilinganishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya mafuta tunanunua huko wanaponunua wao na hao wengine wanazalisha.
 
Kama ni mtumiaji wa mafuta utagundua bei hushuka na kupanda, ila kwa hapa kwetu bei hubadilishwa kila j, tano ya mwisho wa mwezi (kama kuna mabadiliko)
mkuu lini umewahi kusikia viongozi husika wakitoka hadharani na kututangazia kuwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia imeshuka?[emoji3] , badala yake tunasikia tu bei ya mafuta inapanda TU

Sent using Redmi Y2
 
Back
Top Bottom