Mafuta yazidi kushuka bei kwenye soko la dunia

Mafuta yazidi kushuka bei kwenye soko la dunia

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 18 iliopita bei ya mafuta ghafi yashuka chini ya $30 kwa pipa.

Brent ikiuzwa kwa $28

West Texas ikiuzwa kwa $24.

Serikali ina lipi la kutuambia?

Screenshot_20200318-164028_MetaTrader%204.jpeg
Screenshot_20200318-164036_MetaTrader%204.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni beef la russia/saudia vs wafanya biashara wa mafuta wa USA. So wamefungulia mengi kuwakomoa hao wafanya biashara/suplpliers wa usa thats why yameshuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali inasema "tulinunua mafuta mengi sana mwaka 2018 wakati bei ikiwa juu kwa hofu kuwa yangepanda zaidi.

Kushuka kwa bei kwa sasa kutaonekana kwenye mafuta tutakayoanza kuyatumia mwezi June 2021 ikiwa tu bei katika soka la Dunia itaendelea kubaki kama ilivyo sasa" mwisho wa kunukuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kila mtu kimya.

Hakuna anaeangazia hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali inasema "tulinunua mafuta mengi sana mwaka 2018 wakati bei ikiwa juu kwa hofu kuwa yangepanda zaidi.

Kushuka kwa bei kwa sasa kutaonekana kwenye mafuta tutakayoanza kuyatumia mwezi June 2021 ikiwa tu bei katika soka la Dunia itaendelea kubaki kama ilivyo sasa" mwisho wa kunukuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu naomba uhalali wa hii habari. Hii itasababisha Black markets kwenye soko la mafuta Tanzania.
 
Ni fursa kwa upande mwingine, kuna watu wanatengeneza hela nzuri tu kutokana na hiyo crissis...
Hata misibani watu hutengeneza noti....
infact mafuta lazima yashuke bei sana uzalishaji umepungua kwa kiasi kikubwa sana viwandani...
automatically na usafirishaji wa ghafi umekuwa mdogo....
 
Back
Top Bottom