nipo tayari kurekebishwa nlipokosea mkuu..
nipo tayari kurekebishwa nlipokosea mkuu..
kwenye foreign exchange ni mwendo wa kuuza tu
Mkuu una uelewa wowote kidogo juu ya Production/Supply na Demand?Bei ya soko imeshuka zaidi ya nusu, dunia nzima hamna alieshusha bei kama utakavyo. Ni dhahiri wana kikokotoo chao. Wewe unaetaka bei iwe 1000/- tuwekee kikokotoo chako tuone.
Kamuulize mdogo wako wa darasa la kwanza.Mkuu una uelewa wowote kidogo juu ya Production/Supply na Demand?
Hayo ndio majibu ya maswali ya msingi niliyokuuliza?[emoji23][emoji23]Kamuulize mdogo wako wa darasa la kwanza.
Huna swali lolote la msingi ulilouliza. Changia mada hayo maswali ya kitoto kamuulize mdogo wako au watoto wenzio humo mtaani kwenu.Hayo ndio majibu ya maswali ya msingi niliyokuuliza?[emoji23][emoji23]
Naona umeamua kujificha kwenye kigezo cha maswali ya kitoto, hapa tunazungumzia masuala ya facts za kiuchumi nyie mnataka kuleta porojo za kisiasa mwisho wa siku unaulizwa swali unaingia mitini....Huna swali lolote la msingi ulilouliza. Changia mada hayo maswali ya kitoto kamuulize mdogo wako au watoto wenzio humo mtaani kwenu.
Acha kuhusu oil.....kwenye gold price ndo kilio kabisa,yaani kwenye kilo moja ya dhahbu Bei imeporomoka Kwa tsh 15 million....bonge ya hasara
Wewe sio mzima. Siasa umeiona wapi hapa? Kuna swali lolote la maana umeuluza hapa? Hivyo viswali vya kitoto kaulize watoto wenzio. Kama una facts ziweke hapa. Kama una facts kwanini bei ishuke kinyume na global retail price weka facts zako hapa.Naona umeamua kujificha kwenye kigezo cha maswali ya kitoto, hapa tunazungumzia masuala ya facts za kiuchumi nyie mnataka kuleta porojo za kisiasa mwisho wa siku unaulizwa swali unaingia mitini....
Jibu maswali yangu tuendelee mkuu...
Jibu maswali yangu ya kitoto tuendelee[emoji3]Wewe sio mzima. Siasa umeiona wapi hapa? Kuna swali lolote la maana umeuluza hapa? Hivyo viswali vya kitoto kaulize watoto wenzio. Kama una facts ziweke hapa. Kama una facts kwanini bei ishuke kinyume na global retail price weka facts zako hapa.
Eff off.Jibu maswali yangu ya kitoto tuendelee[emoji3]
Tsh 102mil per kilo...100% purity before taxWanasema bei mpya dola ngapi kwa kilo?
Kaka punguza ukali .Huna swali lolote la msingi ulilouliza. Changia mada hayo maswali ya kitoto kamuulize mdogo wako au watoto wenzio humo mtaani kwenu.