Mafuta yazidi kushuka bei kwenye soko la dunia

Mafuta yazidi kushuka bei kwenye soko la dunia

Hizi nchi zetu(shithole) jamaa wanatubana sana. Thamani yetu ni wakati wa kupiga kura tu,ndo utawaona na vi-push ups vyao.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu lini umewahi kusikia viongozi husika wakitoka hadharani na kututangazia kuwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia imeshuka?[emoji3] , badala yake tunasikia tu bei ya mafuta inapanda TU
 
mkuu lini umewahi kusikia viongozi husika wakitoka hadharani na kututangazia kuwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia imeshuka?[emoji3] , badala yake tunasikia tu bei ya mafuta inapanda TU

Ewura ndio wanaratibu Bei za mafuta...
 
yeah, from tsh 2500-2485 per/ltr
This will be possible one day.

Ila Tz mafuta hayatakaa yashuke bei.
20200318_193003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali inasema "tulinunua mafuta mengi sana mwaka 2018 wakati bei ikiwa juu kwa hofu kuwa yangepanda zaidi.

Kushuka kwa bei kwa sasa kutaonekana kwenye mafuta tutakayoanza kuyatumia mwezi June 2021 ikiwa tu bei katika soka la Dunia itaendelea kubaki kama ilivyo sasa" mwisho wa kunukuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ati unasemaje? Yaani walinunua stock ya miaka miwili na nusu??!!!
 
Utasikia ewura wanakuja kutangaza petroli imeshuka kwa shlingi 20 na senti 65, hao watu wana sanaa balaa, ni ngumu bongo mafuta kushuka bei hata kama watayagawa bure kwenye soko la dunia
 
Back
Top Bottom