Mafuta yaadimika Songea

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Kufuatia tangazo la ewura kushusha bei ya mafuta hapa nchini, nishati hiyo imeadimika mkoani ruvuma na kusababisha tatizo la usafiri mkoani humo hususan daladala.hii ni hujuma inayofanywa na wenye vituo vya mafuta ili kuwanyonya wananchi. Sosi ni radio one breaking news.
 
Back
Top Bottom