Mafuta ya Nguruwe yamekuwa mkombozi mkubwa kwa sasa

Dagaa waliokaangwa na mafuta ya nguruwe. Aiseeh.
Ukimaliza kula kunywa bia hata Mia.
 
Ahsante kwa taarifa. Ngoja nipitie kwa mangi hapo nikapate nusu kilo roast na Guiness ya baridiii...

Kitu wengi hawajui huyu mnyama ni kinga na tiba ya maradhi mengi sana .... Nami nasema tumle kwa wingi ili tuwe na afya njema
 
Mkuu unaweza kutusaidia with vivid examples watu waliodhurika Kwa kula nyama ya nguruwe kisa hiyo minyoo? Halafu ukabila hapa umeingiaji? Wewe ni kabila gani na nini hasa kabila lenu limewazidi wachaga?
FaIza kasema Waangalie Wachaga akili zao!
 
😅😅😅Kuna watu wamenuna na bado kidogo korie igonge buku kumi kwa lita, tule tu 🐖 kenyewe katamu na hakana madhara kiafya basi tu kukatafutia sababu
 
Hizi mada huwa hazinibariki sana kwasabu kuna utumwa fulani wa kiimani umeingizwa...

Trust me,,, bado watu wengi hatuna ile freedom ambayo tunaamini tunayo
 
Pamoja na kuwa mm ni mtafunaji mzuri wa Mdudu ,mkongwe ...kumbuka ...kule nyuma ya Shule ya Msingi Mugabe,Upanga Kisutu,TAZARA,. Mbagala Rangi Tatu,Kimara🤭🤭Nkuhungu Kanisani,Kwa Masister ,Uhindini,na Lile ficho la Mash...katikati ya Mji!
Ila nilikuwa Sijui hii Biashara ya Mafuta ya Nguruwe!
Kwa simulizi hizi Maustadh Wala chips,viepe ,Samaki ....Tayari mna Minyoo!
 
Hata huku nilipo aisee!
Tunatumia vitu vya ajabu ajabu aisee!!!
Mafuta ya nguruwe, sabuni za mche made from home, .....
Usalama wa raia kiafya upo hatarini.

Usalama upi Tena unataka , kama Mzigo unaliwa hadi ngozi , mafuta yake ni Masafi kwa Afya na yanaokoa Gharama , ni nn tena unataka Kijana.
 
Karibuni wadau
IMG20211225161320.jpg
 
Wacha Biblia iseme.

Mambo ya Walawi 11:
7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
Karibu kitimoto na ndz bib
 
Back
Top Bottom