Mafuta ya Nguruwe yamekuwa mkombozi mkubwa kwa sasa

Una mke mwenye akili sana mkuu, Huyo wako hata hujamwambia akajiongeza

mimi nina kipengele huku, nshaporomoshewa msg Sundrop inahtajika huko

sijui huyu mwenzangu hajui kama wese limepanda,leo ntavyopeleka mafuta taa

hatoamini,yani najitia sikusoma msg vizuri kbsa Nikifika hakutokua na means zaidi ya Mchemsho tu.
 
Awali yalikua yalikua yanauzwa kwa Bei ya 7K kwa Lita tano, pamoja na bei ya sasa kua mara mbili zaidi ya Bei hiyo ya awali bado yanaonekana kua na Unafuu zaidi ya bei halisi ya Mafuta mengine kwa sasa.

Uzuri wa haya mafuta bana Hayaishi kwa Haraka, pia hayagandi.

Kwa sasa wanaucheza mwingi sana kutokana na hali halisi ya Ugumu wa Bei ya mafuta ya kupikia ilivyo kwa Sasa.
Kwanza hashana harufu.
Mazuri sana kwa kuchomea vitumbua
Hayasababishi rehem
Ukiyatumia huwezi kuyabaini
 
Awali yalikua yalikua yanauzwa kwa Bei ya 7K kwa Lita tano, pamoja na bei ya sasa kua mara mbili zaidi ya Bei hiyo ya awali bado yanaonekana kua na Unafuu zaidi ya bei halisi ya Mafuta mengine kwa sasa.

Uzuri wa haya mafuta bana Hayaishi kwa Haraka, pia hayagandi.

Kwa sasa wanaucheza mwingi sana kutokana na hali halisi ya Ugumu wa Bei ya mafuta ya kupikia ilivyo kwa Sasa.
Nahofia mdudu kutoweka nimeashikwa na wasiwasi Sana jamani
 
Wengi sana duniani ambao Wanamkufuru Mungu, si Wachagga tu. Wa kushangaza zaidi ni wote wanaojidai wanamuamini Mungu kumbe wanamkufuru Mungu, walaji nguruwe, wapo Waislam, wapo Wakristo wapo wasioamni Mungu.

Cha kushangaza, hata sayansi hawaiamini ambayo nayo inasema nyama ya nguruwe ina madhara makubwa sana kwa binadam. Kuna asrticle ya kisayansi nimesoma, inasema nguruwe ana aina ya minyoo ambayo haifi hata kwenye joto la "boiling point", na mingine yake haionekani kwa macho na ikikuingia huenda kujificha kwenye ubongo na kukua.

Kwa hayo, tazama akili za Wachagga, unazionaje?
Wachaga tunaakili gani mkuu?
 
Hilo kuonesha "vivid", hata wewe unaweza ku google, limejaa. Anza na hii...

La kabila, pitia post vizuri, mimi nimemjibu tu aliyelianzisha. Usikurupuke.

Nje na maswala ya imani Usiwaamin sana hawa jamaa. Kama ni kweli kwann wanafanya transplant ya organ za nguruwe kwa binadamu? Ama hizo organ zenyewe hazina madhara?
 
Nje na maswala ya imani Usiwaamin sana hawa jamaa. Kama ni kweli kwann wanafanya transplant ya organ za nguruwe kwa binadamu? Ama hizo organ zenyewe hazina madhara?
Sasa mimi unanambia nisiwaamini, wakati huohuo wewe unawaamni kuhusu hizo "transplant"?

Wewe kama unafakamia fakamia tu. Ya kuambiwa changanya na yako. Kuna waroho wa kula zaidi ya wachina? Ona walifanya nini kwao huko; Kitimoto chawashwa moto, vilio na mayowe ya kibinaadam...
 
Ni wasaa wa kurudisha heshima kwa mpendwa wetu kitimoto, hakika tuwie radhi kwa kutokukupa heshima unayositahili huko nyuma.

Tungekimbilia wapi sisi zama hizi kama ewe mpendwa wetu usingekuwepo?, hakika unasitahili kumuomba mtoa huduma ya lishe akupe protini nyingi na fati ili nasi tupate kwako wese la kutosha.

Nawatakia kila la heri kitimoto wote kokote mlipo hapa nchini mjaliwe siha njema ili wale wenye husda wasije wauzia kesi ya mafua ya nguruwe.
 
Hahahaha Mm sijawahi Kumsaliti kwakweli
 
Hata huku nilipo aisee!
Tunatumia vitu vya ajabu ajabu aisee!!!
Mafuta ya nguruwe, sabuni za mche made from home, .....
Usalama wa raia kiafya upo hatarini.
 
Back
Top Bottom