Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,015
- 95,369
Ewaaa.... uzuri wa hili wese la huyu mdudu, hata ukipikia makande unahisi kama unakula kitimoto rostinlikua najiuliza kwanini chips hazijapanda bei wala kupungua kipimo kumbe kuna maflekechee yanafanyika