Mafuta ya kula shi ngapi huko kwenu?

Mafuta ya kula shi ngapi huko kwenu?

Mafuta ya kuka shibngapi huko kwenu sisi huku mafuta litre 5 elfu 30
Ya ufuta?
Ya karanga?
Ya mawese?
Ya pamba?
Ya alizeti?
Ya samli?
Ya soya?
Ya salad?
Yote haya yanabei tofauti, weka aina moja ili mfananishe bei.
 
Tiba ya kupunguza matumizi ya Mafuta,
Usipike chips,
Usikaange samaki,
Nunua nyama iliyonona, nk
Watu wakiacha kununua Mafuta yatashuka bei. Mambo ya demand na supply. Nakumbuka wakati nakipiga cha uzeeni niliyakremu halafu hayakutoka😄😄😄
 
Tumieni mafuta ya mwilini.. hali ishakuwa tete tunaishi kama tupo jangwani ****make
 
Tiba ya kupunguza matumizi ya Mafuta,
Usipike chips,
Usikaange samaki,
Nunua nyama iliyonona, nk
Watu wakiacha kununua Mafuta yatashuka bei. Mambo ya demand na supply. Nakumbuka wakati nakipiga cha uzeeni niliyakremu halafu hayakutoka[emoji1][emoji1][emoji1]
Huku kwetu mafuta ya kitimoto lita 5 tsh 10000
 
Inabidi tuhamie kwenye kukamua mafuta ya mahindi, maana mahindi miaka ya karibuni yamezalishwa mengi.
 
Back
Top Bottom