KYJelly mwisho wa matatizo. Hata ukitumia 0713 atajisikia poa tu.
kweli jamii forum haitaisha utamu milele....watu wanauliza biashara za kufanya we unauliza cha kukuwezesha kufanya uasherati.Kweli ukistaajabu ya changudoa utaona ya mashoga
Yani nyie cjui muwekwe kundi gani...mtu akiwa mkavu mnalalama....akiwa na majimaji mwamdhihaki....mnataka nini ninyi?
Weka picha hahaha
Habari members,
Nina mpenzi wangu tatizo tukifanya mapenzi uchi wake mkavu sana namchubua na anaumia, tukaenda kwa daktari akatushauri tutumie mafuta ya sex oil. Sasa nauliza ni mafuta gani mazuri na yanapatikana wapi hapa dar?
Shukrani.
TUMIA MATE MATE nasema MATEEEE, kama una kikohozi UKIBANJA temeea huko
Kama mpenzi wako anakuwa mkavu tafsiri yake simply ni kwamba hayuko tayari kuingiliwa.
Utalazimisha kwa kutumia Oil za sex za kila aina, but cha msingi ni kuwa mpenzi wako anatakiwa kumwaga zile juices spontaneously, au kwa hormonal activity, si kwa kulazimisha kwa jellies za dukani kwa wahindi.
Utayalazimisha maungo, lakini akili na willingness ya mtendewa inawaza pepeta zake shambani kule Mvomero.
Bro;
Acha kujisumbua kuuliza mengi hapa. Tuna tumiaga, Natural lubricants. Mate! Huna haja kwenda kuuliza mbali. Temea mate mkononi, paka kichwani. Mbona ni laini tuu. Ukihisi ukavu ongeza tu. Hayapo mbali wala huendi nje kutafuta. Ma lubricants mengine ni sumu hata yanadhuru mbegu hivyo shamba halitazaa matunda yake.
Pili, jitahidi kumwandaa. Usifuate mtindo mmoja tu kila siku. Tangu umekutana na yeye ni huo huo. Uwe mbunifu wa mitindo na hata maneno ya kumwandaa. Sehemu unazo mteke.nya pia.
Jiulize, tangu umfahamu hajaubadili mtindo wa kusuka nywele zake? Kama anabadili kusuka nywele, iweje asibadili mtindo wa ku do?
Haya kanunue hizo Py grease unazo ambiwa.
Kuna wengine wakavu kwa sababu ya kukeketwa hao juice oil ni ndoto
hilo sio suluhisho, mwenzi wako ana ukavu sana, na wewe pia una ukavu vilevile, huyo sio pea nzuri sana kwako, solution za mafuta ni temporary..Habari members,
Nina mpenzi wangu tatizo tukifanya mapenzi uchi wake mkavu sana namchubua na anaumia, tukaenda kwa daktari akatushauri tutumie mafuta ya sex oil. Sasa nauliza ni mafuta gani mazuri na yanapatikana wapi hapa dar?
Shukrani.
Kama mpenzi wako anakuwa mkavu tafsiri yake simply ni kwamba hayuko tayari kuingiliwa.
Utalazimisha kwa kutumia Oil za sex za kila aina, but cha msingi ni kuwa mpenzi wako anatakiwa kumwaga zile juices spontaneously, au kwa hormonal activity, si kwa kulazimisha kwa jellies za dukani kwa wahindi.
Utayalazimisha maungo, lakini akili na willingness ya mtendewa inawaza pepeta zake shambani kule Mvomero.
ExactlySi ungemuuliza dokta akuambie ni aina gani safe kutumia?....
Umepotelea wapiiii?Sawa basi yaisheee...πππ