Troojan
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 967
- 682
Io black seed mimi naweza kuitolea ushuhuda kabisa.niliumwa mimi nikawavkama mgonjwa anaepooza.mwili unakakamaa hata kuvaa chupi nilikua siwezi.hospital zote nazunguka vipimo hakuna ugonjwa.ikawa natembea na panldo mfukoni,zikaanza kunikataa nikachukua flamer ili kupoza maumivu tu ya mwili .bahati nzuri nilikutana na rafiki yangu flani akanionea huruma akanielekeza hayo mafuta na asali namix ktk kifuniko cha dawa.yaan mill5 black seeds na mills 5asali.nikatumia week moja tu.nikapona kabisaa..yaan kabisa adi sasa niko mzima na ndani kwangu watoto wanakunywa io dawa wakianza kuandamwa na magonjwa ya kishenzishenzi.kwa kweli ni dawa haswa hii