Mafuta ya alizeti pure

Mafuta ya alizeti pure

Mkuu tunaweza Fanya jambo huku nilipo Lita Moja ni 4500 ,, dumu la Lita 20 ambalo ni kilo 20 ndani Lina Lita 21 ni sh 90,000. Tufanye usafili kwa Kila dumu Moja ni sh 3000 , gharama za miamala tufanye 3000 plus gharama ya dumu sh 5000 . Hivyo kwa dumu Moja mpaka likakugikia dar es salaam itakuwa sh 111, 000 ..

Wewe ukiuza Lita Moja 8000 mara 21 utapata 168000 tolea tolea gharama za usafiri Mpaka eneo unapofanyia biashara unabakiwa na 140,000 /= .the fact kwamba wewe unapata zaidi siyo muhimu kwangu what matters ni kwamba wote tunapata kwenye biashara .
 
Nakucheki mkuu
 
Back
Top Bottom