Natafuta kampuni ama kiwanda cha mafuta ya Alizeti

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
5,250
Reaction score
7,108
Habari....!
Nahitaji Kampuni ama Kiwanda Cha size ya kati kinachozarisha na kuuza Mafuta ya Alizeti.

Mteja yupo nje ya Nchi, anahitaji Kwa kuanzia Tani 2,500.

Unaweza kuja DM tukayajenga.
 
Kuhitaji ni jambo moja sema ananunua sh ngapi kwa tani na kwa ubora upi
Hajatoa offer yake, anasubiri toka Kwa seller, wewe kama ni Mdau, njoo inbox weka offer Yako Mezani...!

Mfano Grade A.
Tani 1 = 200.

Grade B.
Tani = 150

Simple, Mimi Sina uzoefu na mambo ya Alizeti.... Karibu DM.
 
Unataka Details Gani ziongezeke Mkuu....!?
Kwa oda ya tani 2,500, details muhimu zinatakiwa ziwe clear kabla ya DM. Kwa mfano mafuta ya aina gani (refined au crude), kiwango cha ubora (TBS/ISO/HACCP), mzigo unaenda wapi, packaging (1L, 5L, bulk), na terms za malipo (LC, TT n.k).

Bila hizi ni ngumu kujua kama ni deal serious au kuna fala anatafutwa kupigwa.
 
Yeah
 
Okay....!

-Buyer anasema atakua ananunua mzigo awamu Kwa awamu.
-Alitaka Source iwe karibu na port, nilimpa pendekezo la kununua Singida akasema ni mbali na port, so kaulizia Kwa Dar.
-Buyer anasema anataka Mafuta ya Alizeti ya kupikia, Mafuta ambayo nikiwa napita Singida naona Watu wakiuza, nikipita Dar,naona Viwanda vidogo vidogo vikikamua Mafuta.
-Buyer atakuja mwenyewe means payments option ni FOB.
- Packaging ni Madumu ya Lita 20.

Kama Buyer anakuja mwenyewe hapa nadhani hizi info zinatosha Kwa mtu ambaye yupo serious na kweli ni Mdau.
 
Back
Top Bottom