Mafuta ya alizeti pure

Bei kiasi gani?

Ujazo kiasi gani?

Unapatikana wapi?

Je, mkoani unatuma?

Mawasiliano?
Bei kwa Dsm lita moja 8000Tsh, mkoani 7500Tsh
Ujazo nimeanza kwa lita 1 pia lita 5
Napatikana dar es salaam
Mkoan natuma
Mawasiliano +255612626420
 
Bei kwa Dsm lita moja 9000Tsh, mkoani 7500Tsh
Ujazo nimeanza kwa lita 1 pia lita 5
Napatikana dar es salaam
Mkoan natuma
Mawasiliano +255612626420
Mimi nina kiwanda cha hayo mafuta.... Tunaweza fanya biashara.

Kipo igunga tabora
 
Lita Moja 1 shiringi Elfu tisa9000?
Mbona gharama kubwa sana?......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…