Tumia golden touch cream for oily skin.ni nzuri sana
jamani ngozi yangu ni very sensitive sasa kati ya golden touch cream na pond cream ipi ni nzuri zaidi?Tumia pond cream (very oil). Ni nzuri haikubadilishi rangi utavutia tu. Gudluck
Mimi uso wangu una mafuta mengi.Natumia sabuni ya KOPACABANA kunawia uso,halafu natumia GOLDEN TOUCH CREAM.Uso wangu ni mzuri,na vitu hivyo hapo havichubui.nunua golden touch cream for oily skin.Halafu kila wiki,nunua mdalasini changanya na asali kisha paka usoni baada ya 30dk,osha.UTANIAMBIA!Mm ndo vi2 vyangu hivi!HUCHUBUKI
Kwa wale wadada warembo au yeyote anayefahamu mafuta/lotion nzuri kwa uso wenye mafuta mengi anifahamishe
hiyo si ndio mikorogo yenyewe hiyo.