Jamaa walimsimamisha baada ya kumsafisha na kumrudisha amewawahi, kiukweli amejitahidi kuijenga hii bank, ila pia msisahau kazi zoote kubwa nchi hii zimeshikwa na hawa mnaoita wawekezaji aka Makagasheki, sasa mzalendo akipewa kazi hukumbana na vikwazo na hujuma nyiiingi sana sana....
Yes the man is bold!, ila pia kwenye top executives kuna vita kati ya top prestige vs top money!. Kama ni kweli ameachia ut top wa NBC kwenda Puma Energy kwa sababu tuu ya Top salary, then its a less prestigious company compared to NBC!, NBC is giant!. Sitashaangaa maana hata yule mama Mwambenja aliyekuwa the first woman MD wa Exim Bank, ameachia na kuwa MD wa kibenki fulani kipya cha wanawake kimeanzishwa!.
Although money is everthing, sometimes its not everything!.
"The Guilt Always Are Afraid!"
All the Best kwa Mafuru on his new endeavors!.
Merry X-mass & Prosperous New Year!.
Pasco
It is really high time to leave. Nasikitika kwa hali hii kwa kuwa Mafuru namjua sana. Tulikuwa wote IFM na alikuwa best student mwaka 1998. Kiiuwezo sina shaka naye ila haya mengine ni mapito ya Kimaisha tu. Kila la heri bro.I personally would have done the same after the allegations!!
mimi kama mteja sijaona mabadiliko yoyote anayosema or the so-called achievements, i guess i am just too reluctant to 'see' kivazi cha mfalume/
Yes the man is bold!, ila pia kwenye top executives kuna vita kati ya top prestige vs top money!. Kama ni kweli ameachia ut top wa NBC kwenda Puma Energy kwa sababu tuu ya Top salary, then its a less prestigious company compared to NBC!, NBC is giant!. Sitashaangaa maana hata yule mama Mwambenja aliyekuwa the first woman MD wa Exim Bank, ameachia na kuwa MD wa kibenki fulani kipya cha wanawake kimeanzishwa!.
Although money is everthing, sometimes its not everything!.
"The Guilt Always Are Afraid!"
All the Best kwa Mafuru on his new endeavors!.
Merry X-mass & Prosperous New Year!.
Pasco
Sure. Pale hapamfai kbs kwa sasa baada ya tuhuma zileAmekuwa mjanja, amekoswakoswa lazima awe makini zaidi!! Hataki kuwa kama Muhando
Habari ambayo bado haijathibitishwa ni kwamba NBC imenunuliwa na BARCLAYS BANK na serikali imeuza hisa zake zote na ABSA nao wameuza hisa zao zote kwa BARCLAYS. Tusubiri muda utaamua. Kwa hiyo Mafuru amejiondoa maana anajua kinachoendelea
Siku zote mimi naamini mtu aki resign baada ya kupata allegation anakuwa ametoa mfano mzuri wa kiongozi bora kama vile mheshimiwa Lowasa alipojiuzuru wakati wa skendo ya richmond ilikuwa ni hatua na mfano wa kuigwa sio kama wengine wanaosubiri kufukuzwa