Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,668
- 11,333
Mafuru is good but not that much, managing director wa kitanzania wote wanafanana tofauti ni majina tu na kabila zao..
Kama mtu upo fiti kwa nini usijaribu challenge kwenye opportunities za kueleweka duniani,, why not to find opportunities in a reputable company around the globe as sony group japan, samsung group korea, google, huawei china, maerskline,, ericsson sweden, Toyota japan, honda, nissan au volkswagen group germany etc... Nina imani huko ndo kweye proffessionalism ya ukweli as unatoa decisions zinazo affect the world..
Nilikuwa nacheki snbc ile business television kwenye dstv.. Kuna mkenya alitoka bank of kenya alikuwa managing director aliona wanamzingua enzi za moi akaelekea zake sony akawa finance manager sony group na alikuwa anafanya vitu vinavyo effect sony dunia nzima na wakakubali jamaa ana uwezo..
Na mishahara utayolipwa huko group si mchezo ni madolari ya kufa mtu,, japokuwa huko hakuna kuiba kizembe zembe maana unacheza na auditors wa groups.. As kama na ernest and young, pwc or kpmg wanaofanya audit kwenye kampuni kubwa nao wanatoka headquarter wa hizo firms so hawakuachi kizembe zembe.. Sio bongo unampangia auditor hadi sample za kumpatia na yeye anacheka cheka tu
Nimegonga like hapo because I have a vivid example