Mafuriko ya Mjini Dar es salaam

mfilisti

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
3,641
19,275
C6x7RwRWcAAfmRh.jpg
C6yATZcWwAA0kSJ.jpg
C6yJYEAWwAAfLMD.jpg
C6yJYEAXAAA1sdu.jpg
C6x-bo8WsAAEpgG.jpg
 
Kumbe si wanaume wa Dar pekee wenye shida ukilinganisha na wa mikoani, hata eneo la Dar ni yaleyale yaani hamna kitu ukilinganisha na maeneo ya mikoani!
 
Na iwe salama. Pole kwa waliofikwa. Yule jamaa atasema hivi kwani sirikali ndiyo iliyo leta mafuriko? Hatuna tena mtetezi wanyonge sie.
 
Inabidi sasa hivi kila mwenye nyumba Dar awe na kimtumbwi ambacho atakuwa anakitumia kipindi cha masika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom