Hivi enzi hizo serikali ilikuwa wapi hadi uholela wa ujenzi unatokea na kuleta shida hizi? Big up JPM for you strictness, i believe ingekuwa era hii urban planners wangekwisha jutia tamaa zao mbaya
Nna safari ya kuja maeneo hayo kesho, mvua ikinyesa usiku huu itabidi nihairishemwenge leo majangaa
[emoji16][emoji16][emoji16]Halafu ajabu yenyewe watu wa dar hununua magari tu badala ya ngalawa na mashua!
Umenikumbusha kitu, kuna mtu bado kidogo anunue nyumba, sa ile kafanya ziara ya kustukiza baada ya mvua kunyesha si akakuta maji yamejaa ndani ya nyumba... Kumbe nyumba ilivyojengwa maji ya kutoka mtaani yote yanaingia kwake... Yaani alimshukuruje Mungu!!!Huu ndio muda wa kununua kiwanja
😀😀😀😀 kwani si naskia alienda kusini mwa Africa kutafuta vyetiAngalieni, isijekuwa yule mtu mzima alilia machozi ili mafuriko yatokee aseme; Cheti changu kirikuwa apa kwenye diroo ya pili, kimechukuriwa na mafuriko kwa bahati mbaya. Ohoo! Mjini shule
Asante kwa majibu mazuri kwa kuwa tunaelimishana, binafsi sioni kama mipango miji au hata wanasiasa walioruhusu makazi holela na ofisi hata kwenye mikondo na maeneo oevu ambayo ni kama sponge wanakwepa lawama. Nikubaliane na wewe pia sea level yaweza kuwa sababu, lakini katika ulimwengu huu wa teknolojia haikubaliki. Mbona netherland wameweza? ukienda Amsterdam utaona wametengeneza mifereji ya maji hayo ya bahari hadi ndani kabisa mji na yanatumika kama njia za usafiri toka eneo moja la mji hadi lingine.Sidhani kama shida kubwa ipo kwenye mipango miji, shida kubwa Water table ya Dar iko juu sana so mvua kidogo tu udogo unakuwa Saturated na maji yanashindwa pa kwenda, pili Sehemu kubwa ya mabonde ya Dar yapo almost at sea Level, chukulia Mikocheni yote, Jangwani, so kama kuna Bamvua (hightide) maji huwa yanajaa bHarini nakutapika maeneo ya Mikocheni, Kawe, kunduchi, jangwani nk so hiyo scenario ya high tide inasababisha maji ya mvua kushindwa kuingia baharini kwa urahisi
Ili kuzuia madhara kwa wakazi wa Dar basi Dar nzima ingepaswa kuwa low Density tena makazi yangejengwa sehemu zenye miinuko, ukweli ni kiwa sehemu kubwa ya Dar ni sehemu hatarishi
Asante kwa majibu mazuri kwa kuwa tunaelimishana, binafsi sioni kama mipango miji au hata wanasiasa walioruhusu makazi holela na ofisi hata kwenye mikondo na maeneo oevu ambayo ni kama sponge wanakwepa lawama. Nikubaliane na wewe pia sea level yaweza kuwa sababu, lakini katika ulimwengu huu wa teknolojia haikubaliki. Mbona netherland wameweza? ukienda Amsterdam utaona wametengeneza mifereji ya maji hayo ya bahari hadi ndani kabisa mji na yanatumika kama njia za usafiri toka eneo moja la mji hadi lingine.
Funzo: kwa miji mingine inayochipuka kama dodoma mipango miji wapewe nafasi kutumia taaluma yao na wawo wenyewe wasimaie maadili ya kazi zao
hahahahahhaaaaaHalafu ajabu yenyewe watu wa dar hununua magari tu badala ya ngalawa na mashua!