Dar ilisimama leo hata maofisini tulitoka nje japo kushuhudia watu na magari na pikipiki zikiwahi kuelekea kumlaki Rais. Eti kuna nyambafu imesema ni wauza maji? kakuambia nani? Angalia katika magorofa tuliandamana kupitia veranda na madirisha kwa kuwa kikazi hatukua na fursa ila 25/10/2015 tutakuwa na fursa. Ohhhhhh Yes, fursa.😛layball: Goli la kidole hilo mpaka wata :lol:
Photo of the century. Jamani hii camera lens yake ni vipi? I salute you. Yaani mwaka huu tecknolojia ya upinzani ni supa. Ila sasa kwa wazo langu lile lile ni hivi. Ukawa andaeni andiko la kwa kuanzisha vote counting centres kwa kata, Wilaya, Mkoa na Taifa kabisa. Kura ikishabandikwa tu basi mawakala wanatuma kwa wakala mkuu wa kata, kata anatuma Wilayani na Wilaya inatuma mikoani na kila mkoa unatuma DSM. Please, zingatieni hili. Vijana wapo hawana kazi na waelimishwe wapatiwe mini laptops waingie kazini. Wengine watanzania wenye mapenzi mema wasiliana na ndugu zako zote unawatumia MPESA hakikisha kuwa wanapigia ukawa ili angalau tuone mabadiliko. Tumechoka kuhudumia maskini vijijini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.