mafuriko ya lowassa

mafuriko ya lowassa

Wengi hapo ni wauza maji na wengi hawajajiandikisha .... October 25 sio mbali,,
 
Ccm ijifunze watu mtaani wamechoka ukawa hata kama wangemsimamisha wema sepetu watu wangempigia kura
 
Huyu jamaa hazuiliki ni garika

attachment.php
 
ukawa mmezoea photoshop tumewachoka sasa. ccm chama dola milele

Peleka ujinga huko Huna adabu gamba ww unanuka mdomo kwanza toka hapa kijana mdogo upo sisiem kwel we unautaira jitambue mwehu mkubwa
 
Watanyooka...tunachotaka ni nchi yetu waliyoingeuza koloni lao, haiwezekani tuibiwe rasilimali zetu, na kazi ya ucarpenter afanye mchina, akirudi kwao anaondoka na pembe za ndovu...Tufanye nchi itakayoheshimika kwa kuiondoa CCM october 25
 
Wengi hapo ni wauza maji na wengi hawajajiandikisha .... October 25 sio mbali,,

Kweli, kwa sababu wayza maji sio watanzania hawapaswi kupiga kura. Zaidi sana hatujajiandikisha hata mimi Sijajiandikisha !!!!!!! Furahi shangilia
 
Kikwete alilewa na uamiri jeshi mkuu. Kuwapa madaraka haya makabila madogidogo ni shidahaa sana
 
Uzuri ni kuwa vijana wote sasa tuna mwamko wa kupiga kura kuliko ilivyokuwa mwaka 95. Viva EL
 
Ha ha ha ha ha hahahahahahaahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahhahahahahahahaahhahahahahha
Somo litaeleweka tu!!:bange::bange::bange:
 
Back
Top Bottom