october 25 nakumiss
Duh ama kweli jiwe walilolikataa waadhi limegeuka kua jiwe kuu la pembeni
mimi sitaki aiseee... nasubiria october ijeHahahahaaaaaaa! Nenda kagombee ubunge maalum uwe naye karibu.
Ha ha ha.. ccm wanajifariji ati hao wote hawajajiandikisha kupiga kura..!
25 October mtoke hivyo hivyo kupiga kura.
Toroka uje UKAWA.ukawa mmezoea photoshop tumewachoka sasa. ccm chama dola milele