Mafuriko ya Dr. Slaa hayakuvuna kitu ndio aweze Lowassa

Mafuriko ya Dr. Slaa hayakuvuna kitu ndio aweze Lowassa

Mr Mihogo bure kabisa! Alishindwa kabisa kuibadili Dar, na kuitoa katika makucha ya CCM, hivi leo Dar-Es-Salaam ndiyo makao makuu ya mabadiliko, kila mtu Dar anaimba: Lowassa mabadiliko!!!!! Muda wote wa kampeni, Mr Mihogo alikuwa anaogopa kwenda Mtwara, Lindi, Pwani, Tanga, Pemba na Unguja, leo LOWASSA kona zote nchini ni mahaba tu!!!!!!! Slaa tupa kuleeeeeeeeee!!!!!!!!!!!

Haya Mamburula Hayajui Kwamba Siasa ni Mahesabu! Ndio Maana Dr Mihogo Kawa dodea, Walifikiri Dr Mihogo Ndio Chadema? Mtanyooka Mwaka Huu, kila Kona ni Lowassa, Magufuli Arudi Chato Akafuge Samaki.
 
Thanks Mkuu, nimerekebisha, ilikuwa ni 200*200 = 40,000. Hivyo 40,000 sqm * 5 = 200,000

Ng'azagala asante sana. Wewe ni great thinker humu. Umeongea kitu cha kisayansi kabisa. Unaweza ukakadiria idadi ya watu kwa eneo.
Lakini kuna mchanganuo zaidi ya hapo.
1/Kama watu watakuwa wamekaa au hawajasongamana basi ni kweli 1sqm ni sawa na watu5.

2/Kama wamesimama kwa msongamano mkubwa 1square Foot ni sawa na MTU mmoja(1Sqm=10Square Feet=10Watu) hivyo kwa uwanja Wa 200meter*200meter*10watu=Watu400,000.

Lakini Mara nyingi viwanja vinavyotumika vinakuwa ni vile vya kuchezea mpira ambavyo most havizidi urefu wa mita 100 na upana pungufu ya hapo, ukiondoa viwanja vichache kama Jangwani ambapo ni vikubwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Mafuriko ya Dr Slaa yalikuwa localized kwenye major cities only as opposed to Lowasa all over the country
 
Kilichotokra 2010, Timena wKwenye akiri Zao Wanajua.

Waliokifanya wako Uoande wWa Pili, Swali ni Je Watakifanya Tena time?

Subiria uone Nguvu ya Umma na Kuzima Mianya ya Uchakschuaji.

Jiandae kisaikolojia Aibiwi ntu Safari hHii.

Nyeupe ni Nyeupe na nyekundu ni Nyekundu.

Piga campaign za majungu na vijembe, tarehe 25/10/2015, Ndio CCM Itajua Maana ya Mabadiriko tunayoyasema.
CCM haina mpinzani.
 
Mafuriko ya Slaa yalikuwa ni karibu 50% hawa kuandikishwa , hao waliishia kuyatamani mabadiriko lakini hawa na sifa ya kupiga kura. Safari hii 90% wameandishwa na mwamko wa mabadiriko ni mkubwa, tume nayo angalau inataka kuonyesha ka uwazi flani hivi. Sasa subiri uone CCM inavyoenda kuanguka.
 
Mafuriko ya Slaa yalikuwa ni karibu 50% hawa kuandikishwa , hao waliishia kuyatamani mabadiriko lakini hawa na sifa ya kupiga kura. Safari hii 90% wameandishwa na mwamko wa mabadiriko ni mkubwa, tume nayo angalau inataka kuonyesha ka uwazi flani hivi. Sasa subiri uone CCM inavyoenda kuanguka.
We are counting days.
 
Utatufanya tulie------------------------------
 
Alishinda wakachakachua .mwaka huu haiwezekani maana watu watapiga kura kwa wingi
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu kumetokea hoja moja inayoonekana kuthaminiwa sana na Public, hoja ya kujaza Wananchi wengi kwenye Mikutano ya Kampeni, tujikumbushe kidogo hii ilikuwa ni Mikutano ya Dr. Slaa na Chadema Mwaka 2010 ndipo kwa mara ya kwanza kati ya Wapiga kura Millioni 20.4 waliojiandikisha ni Millioni 8.6 tu waliopiga kura na kati yao Dr. Slaa alipata Millioni 2.3 ukilinganisha na CCM waliopata Millioni 5.6, je inawezekana Lowassa na UKAWA wakapata kura Millioni 18 wanazodai kati ya wapiga kura Millioni 24 waliojiandikisha Mwaka huu? Maana yake itakuwa kwamba Lowassa atakuwa ameongeza kura Millioni 16 yaani 800% itakuwa ni Historia ya Dunia kwa Mgombea Urais wa kwanza Duniani kukataa Midahalo na Wagombea wengine na kushinda kwa kura hizo za ajabu sana.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



​
 
Back
Top Bottom