Mafuriko ya Dr. Slaa hayakuvuna kitu ndio aweze Lowassa

Mafuriko ya Dr. Slaa hayakuvuna kitu ndio aweze Lowassa

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu kumetokea hoja moja inayoonekana kuthaminiwa sana na Public, hoja ya kujaza Wananchi wengi kwenye Mikutano ya Kampeni, tujikumbushe kidogo hii ilikuwa ni Mikutano ya Dr. Slaa na Chadema Mwaka 2010 ndipo kwa mara ya kwanza kati ya Wapiga kura Millioni 20.4 waliojiandikisha ni Millioni 8.6 tu waliopiga kura na kati yao Dr. Slaa alipata Millioni 2.3 ukilinganisha na CCM waliopata Millioni 5.6, je inawezekana Lowassa na UKAWA wakapata kura Millioni 18 wanazodai kati ya wapiga kura Millioni 24 waliojiandikisha Mwaka huu? Maana yake itakuwa kwamba Lowassa atakuwa ameongeza kura Millioni 16 yaani 800% itakuwa ni Historia ya Dunia kwa Mgombea Urais wa kwanza Duniani kukataa Midahalo na Wagombea wengine na kushinda kwa kura hizo za ajabu sana.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​
 
Jumatatu inaanza ile Operation aliisema Mzee Mwanakijiji na Chilisosi kaliandika leo.

Mipango kamili ilishapangwa huko USA na hapa wakiagana baada ya mipango kuisha.

Mafuriko ya Dr wetu mpendwa yataanza hivi karibuni.

attachment.php
 
Slaa mbona amepungua hivi licha ya kupewa Mabilioni tulitegemea atarudi amenawiri kumbe kachoka hivi.
 
Kilichotokra 2010, Timena wKwenye akiri Zao Wanajua.

Waliokifanya wako Uoande wWa Pili, Swali ni Je Watakifanya Tena time?

Subiria uone Nguvu ya Umma na Kuzima Mianya ya Uchakschuaji.

Jiandae kisaikolojia Aibiwi ntu Safari hHii.

Nyeupe ni Nyeupe na nyekundu ni Nyekundu.

Piga campaign za majungu na vijembe, tarehe 25/10/2015, Ndio CCM Itajua Maana ya Mabadiriko tunayoyasema.
 
Tutajua baada ya tarehe 25/10/2015 . Tarehe hiyo iweke katika kitabu chako cha kumbu kumbu. Na kama huna kanunue mapema kwa maana si siku hiyo siya kwenda kuisahau katika maisha ya Mtanzania.
 
Hivi Nyoso hazukagi pande hizi? Vyakula vyake ni vingi sana.
 
Tutajua baada ya tarehe 25/10/2015 . Tarehe hiyo iweke katika kitabu chako cha kumbu kumbu. Na kama huna kanunue mapema kwa maana si siku hiyo siya kwenda kuisahau katika maisha ya Mtanzania.
Muulize Babu yenu DUNI, mbona kamwaga manyanga?
 
Mr Mihogo bure kabisa! Alishindwa kabisa kuibadili Dar, na kuitoa katika makucha ya CCM, hivi leo Dar-Es-Salaam ndiyo makao makuu ya mabadiliko, kila mtu Dar anaimba: Lowassa mabadiliko!!!!! Muda wote wa kampeni, Mr Mihogo alikuwa anaogopa kwenda Mtwara, Lindi, Pwani, Tanga, Pemba na Unguja, leo LOWASSA kona zote nchini ni mahaba tu!!!!!!! Slaa tupa kuleeeeeeeeee!!!!!!!!!!!
 
Mnapagwa sana mwaka huu.
 
Hili suala la mafuriko au sijui gharika huwa halieleweki na huenda linawachanganya watu. Nadhani inabidi kuwa na njia ya kukisia idadi ya mahudhurio ya hiyo mikutano

njia mojawapo ni kujua ni kiasi gani cha watu wanatosha katika squre meter moja, kisha tunapima eneo la mkutano na kujua lina ukubwa kiasi gani. Wale wanaotumia Google Earth, wanajua hili la urahisi wa kupima eneo.

kwa wale wanaofuatilia mambo ya crowd safety, kuna chapisho kwamba watu wanaosimama hawazidi 5 kwa sq m moja. Maeneo mengi ya kufanyia kampeni ni wastani wa mita 200 * 200 ambayo ni sqm 40,000. Hivyo ukizidisha 40,000 * 5 huwa kuna wastani wa wasikilizaji 200,000 hivi.

Hii itasaidia kutoa picha halisi kuliko kuishia kusema ni gharika/mafuriko
 
Mafuriko ya Dr. Yalifanya kazi kubwa ya kukijenga chama japo kuwa wewe usiyefahamu unaweza kusema hakuna kitu kwa sababu tuu hajui.
 
Hili suala la mafuriko au sijui gharika huwa halieleweki na huenda linawachanganya watu. Nadhani inabidi kuwa na njia ya kukisia idadi ya mahudhurio ya hiyo mikutano

njia mojawapo ni kujua ni kiasi gani cha watu wanatosha katika squre meter moja, kisha tunapima eneo la mkutano na kujua lina ukubwa kiasi gani. Wale wanaotumia Google Earth, wanajua hili la urahisi wa kupima eneo.

kwa wale wanaofuatilia mambo ya crowd safety, kuna chapisho kwamba watu wanaosimama hawazidi 5 kwa sq m moja. Maeneo mengi ya kufanyia kampeni ni wastani wa mita 200 * 200 ambayo ni sqm 400. Hivyo ukizidisha 400 * 5 huwa kuna wastani wa wasikilizaji 200,000 hivi.

Hii itasaidia kutoa picha halisi kuliko kuishia kusema ni gharika/mafuriko

400*5=2,000 sio 200,000
 
Back
Top Bottom