Mafuriko mwezi ujao (September 2012)

igwe za mwenzako changanya na zako.za mashariki magharibi changanya na zako halafu utapata conclusion iliyonzuri.
 
 

'By the way

Mungu anayeweza yote anaweza kuumba jiwe zito kiasi kwamba yeye mwenyewe hawezi kulibeba?' ZITO KWA VIPIMO VIPI ? lbs au kgs, hayo yote ni mbali na Mungu ambaye ni roho na uwezo wake ni nje ya uwezo wa kibinadam unaotegemea milango mitano ya fahamu. Kiranga zinduka MUNGU sio binadam na uwezo wake ni zaidi ya uwezo wa binadam kutambua njia zake. UWEZO WAKO WA KUKARIRI NI MKUBWA SANA KIRANGA, tatizo lipo kwenye kutafakari,kutafakari zero kabisa.

Kwa tafakari yako lazima idea ya mungu iwe kituko kwako, bahati mbaya kuelewa uwepo wa Mungu hakuhitaji kukariri kunahitaji kutafakari,Pole mkuu.
 
 
igwe za mwenzako changanya na zako.za mashariki magharibi changanya na zako halafu utapata conclusion iliyonzuri.

Kwa kukusaidia mimi sio mvivu wa kutafuta maarifa....hivyo sio kwamba labda nanyonya kama dodoki...in contrary_nafikiri wewe na rafiki yako elisha ray(anayekuja na hadithi za kuoteshwa mafuriko sept'12) hapo juu ndio mmekaririshwa kanisani/msikitini na mkanyonya kama sponji......anyway_hata mimi ni muumini wa dini mojawapo hizi za kuletwa na meli kwa kuzaliwa na wazazi wakristo.
 
 
Sisi wa maghorofa ya TBL Ilala ikinyesha mvua kwetu taabu sana maana upepo unaiingiza hadi vyumbani. Inyesha kote isije ilala.
 

tena anawaita wenzake wajinga sasa sijui alikuwa anamaanisha ujinga wa kutojua au ujinga wa tusi.kama kiranga anawaona wenzake waliotafakari na kufanya several test kuwa mungu yupo ni wajinga (kwa maana ya kutojua basi) na yeye ni mjinga kwa kutojua kuwa mungu yupo.
anataka kuprove mungu kwa kumuona kwa macho yake na kumshika kwa mikono yake!
kama vile anaweza kuishika time katika mikono yake, na kuiona kwa macho yake ndio aikubali kuwa time nayo inaexist?
 
 


kwa taarifa yako mimi sikariri vitu kama ovyoovyo na kila kitu kwangu lazima kipite katika namna ambayo mimi nimeitafakati ktk elimu yangu ufahamu wangu na busara zangu,na kukubali na kukataa katika namna ninayoona mimi inafaa sio kila kilichopo kanisani nakikibali la hasha. na sikariri za mashariki na magharibi ovyoovyo, nachanganya na za kwangu.
usifikiri mimi nameza tu kama mwenzio kiranga anavyokujaga hapa na mateminology na midude migumu ya vitabuni.
 

Mmmmhhhhhhhhhhhhhh...mimi sijui kwa kweli.
 
 

ahahahahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa_migumu kwani imeandikwa kiaarabu...?
 

Dar es Salaam Month Weather - AccuWeather Forecast for Dar Es Salaam Tanzania
mkishapita huko ndio mnapata data za kutabiri? Jamani msichanganye mambo ya Mungu na ...
 

Kama mungu ni roho na uwezo wake uko mbali hivyo na uwezo wa binadamu unaotegemea milango mitano ya fahamu, wewe umemjuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…