Mafunzo ya polisi kama ndo haya nimeshindwa

Wanaoanza wanapewa mshahara kiduchu huwezi amini,hiyo laki tano ni mishahara ya miezi miwili kinachosaidia ni lesheni wanayopewa katikati ya mwezi .

watu hawalingani katika mapato !......kuna wengine huo mshahara wako wa sasa, kwao ni makato ya NSSF !
 
si wote tulizaliwa kuwa maaskari, maana hata kulinda haki za binadamu hata wachungaji, maaskofu, wanasheria hufanya kazi hizo kwa njia mbalimbali, hivyo sio lazima kufanya wote tuwe maaskari though ukakamavu ni sehemu mhimu sana ktika maisha....... jeshini ni sehemu ambayo watu hufunzwa kujiandaa kukabiliana na wafananayo na hao wafanao na yanayotokea jeshini............
 
Sasa chuo kinaongoza hadi Mkuu wake anat*a wanafunzi kweny bwalo achilia mbali wakufunzi ambao wanajua wanaumwa wanatembea na kiruta na kuwaachia virus ndo ukakamavu huo kwel!
Ndio maana wanaosona hiyo kazi wengi n waliofeli na kukosa dira ya maisha.
halafu cha kushangaza utakuta jitu Kama ww ukipata tatizo unakimbilia kwa hao unaowaita waliofeli na kukosa dira ya maisha,shame on you bitch!!! Mambo siku hizi yamebadilika wasomi wamejaa majeshini
 
Usiniguse: Hayo uliyokutana nayo ni mambo ya kawaida kabisa kwenye depo za majeshi duniani pote, iwe US, UK, Soviet Union etc. Hayo yanafanywa makusudi ili kuwafundisha askari ukakamavu na uvumilivu kuanzia siku ya kwanza ya mafunzo. Acha CCP, hata Monduli CTU kwa makadeti lugha ni zaidi ya hizo, na watukanao ni non-comissioned officers!!! Inaonyesha wewe ni mwoga sana, huwezi kukabiliana na suluba za maneno

Ukakamavu hauletwi na mateso. Hii ndiyo sababu askari wetu hawana utu, ni kwasababu mafunzo yao yanawaondolea itu na nidhamu. Hizi mbinu zilitumika enzi za vita vya dunia kuwamanipulate askari na kuwa brainwash. Sasa askari polisi una wa manipulate ili wafanye nini? Ndiyo maana matumizi ya nguvu ni mengi kwa askari wetu. Unaweza kumwandaa mtu kisaikolojia na ki diplomasia na akamudu mikiki yote, mfano kudhibiti maandamani yasiyohalali bila askari kuanzisha vurugu kama vile ilivyozoeleka. Unasema USA NA UK? Mimi nafikiri wewe unazungumzia action za film. In reality, human rights first
 
Jeshini hawaendi watoto, then, dont worry !

Hakuna tofauti ya wanafunzi kuanzia msingi hadi chuo kikuu. Na mwalimu ni mwalimu kuanzia wa msingi hadi wale wanaojiita lecture. Mazingira ya wanafunzi ni kati ya factor wanazozibeba wanafunzi. Unaweza kuwa mkakamavi bila kuteswa na kutukanwa na kunyimwa chakula. Majeshi yetu yanafundisha unyambis. Nikisema u nyama, wanyama segemu kubwa ni inocent. Bora jamaa alichapa zake mguu
 
Unajuaje kama mission ya operation Tokomeza (rules of engagement) iliwaagiza Askari wafanye hicho walicho kifanya ?
Hili si suala la nidhamu au mafunzo, ni suala la aliyewatuma alitaka nini kifanyike !
Ndio maana Mwenyekiti wa Tume ya uchunguzi wa hiyo operation alipendekeza wale wote (Technocrats) waliotengeneza 'mpango kazi' wa operation tokomeza wachukuliwe hatua. Kwani hiyo (blue print) karatasi ya 'mpango kazi hata waziri hakupewa copy !

Lakini sasa huoni kuwa askari wetu wanaenda kama giza? Haijalishi waliamniwa wafanye nini ila walichokifanya hakikinzani na wanayofundishwa huko mafunzoni. Kama aliyoeleza mtoa hoja ni ya kweli huhitaji kuwa smart kuona kuwa askari wa Tanzania na Afrika kwa ujumla hawana ubinadamu na ubabe ndo tu kitu wanachoweza
 
Ukakamavu hauletwi na mateso. Hii ndiyo sababu askari wetu hawana utu, ni kwasababu mafunzo yao yanawaondolea itu na nidhamu. Hizi mbinu zilitumika enzi za vita vya dunia kuwamanipulate askari na kuwa brainwash. Sasa askari polisi una wa manipulate ili wafanye nini? Ndiyo maana matumizi ya nguvu ni mengi kwa askari wetu. Unaweza kumwandaa mtu kisaikolojia na ki diplomasia na akamudu mikiki yote, mfano kudhibiti maandamani yasiyohalali bila askari kuanzisha vurugu kama vile ilivyozoeleka. Unasema USA NA UK? Mimi nafikiri wewe unazungumzia action za film. In reality, human rights first

Unaongea kitu usichokijua. Hufahamu mifumo ya kijeshi wewe, mimi nina uzoefu wa miaka 30+, ninachokisema nakijua. Ww ni kijana wa dot-com, huelewi lolote
 
Mleta uzi unataka kuaminisha watu wewe ni proffesional zaidi ya wengine? Mbona kuna master holder wanapita pale bila hata ya kutaja cv zao? Wewe na kadegree kako ndo unaona we kinara wa tz? Utakuwa una kabang wewe c bure
 
Dunia imebadilika kwa mafunzo haya hatuwezi kupambana na al qaida hata siku moja,eti UWANJA WA DAMU maana yake nini?
Unaongea kitu usichokijua. Hufahamu mifumo ya kijeshi wewe, mimi nina uzoefu wa miaka 30+, ninachokisema nakijua. Ww ni kijana wa dot-com, huelewi lolote
 
Unaongea kitu usichokijua. Hufahamu mifumo ya kijeshi wewe, mimi nina uzoefu wa miaka 30+, ninachokisema nakijua. Ww ni kijana wa dot-com, huelewi lolote

Hivi wewe mwenye uzoefu wa miaka 30, hujui kuwa dunia inaenda ikibadilika?siku hizi kilakitu tec mzee. Kama ndivyo unavyotaka. Hebu kwanza niambie mafunzo ya kijeshi asili yake ni wapi? Na walioanzisha bado wanautumia mfumo ule ule? Hitla simjui ila hotuba zake niliziona. Manipulation. Mafunzo waliopewa askari wake ni ya kizamani kana kwamba askari akirudi uraiani hawezi ku fanction tena. A baadhi ya askari wetu ndivyo walivyo
 
Back
Top Bottom