Mafunzo ya mortuary

Mafunzo ya mortuary

Watu wanaweza kudisi hii kazi kumbe Wenda ni mtego uliowekwa Ili kupata watu wa "system" , wadau nawasihi.mchangamkie fursa.

Nyingine zina kichwa cha habari chenye ukakasi ila ukiiingia tu "wazee wa msatari " wankuchojoa na kupata kazi mujarabu.

Ni mtizamo tu wa mlango wa 6 wa fahamu "6th sense organ", na sio sheria
Nimekuelewa sana ndugu yangu
 
Ni heshima kufanya kazi na wale walio onana tayari na Mungu.

Ukifa unajikuta una washkaji kibao mbinguni uliowahandle Duniani wakati wa departure yao yaani unakuta wamekuandalia na makazi kabisa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Bugando nakuja!
Ingekuwa hivyo hata vifo visingeogopwa
 
Maisha ni magumu, mkipata ya hospitali za Dar mniambie
 
Sina uhakika kama Mola ameniridhia mimi kuwa miongoni mwa watu wa peponi

Na salaf na waislam waumini wote
.
Sina uhakika kama Allah amenisamehe kwa adhabu za kaburini ambazo asilimia 100 uwepo wake hauna shaka

Namuomba Allah awakinge na adhabu za kaburi na adhabu za moto wa Jahannamu wale wote waliotamka shahada na wale ambao watajiunga na dini tukufu ya uislam

Amiin
 
Baba wa mapaka= Abuu huraira
Sijaelewa mantiki ako kabisaaaa.
 
Wameweka vigezo vigumu sana sijui kama watapata wanafunzi
 
Hii kazi mshahara utakuwa mkubwa sana na allowance kibao pia haitakuwa na manyanyaso
 
Back
Top Bottom