hajjmakwato
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 230
- 154
Ivi sempaye na sensei nani anastahiki hizo dani12 ... Usivamie taaluma za Watu km hujui eti sempaye simba...
Tafuta mahali kuna msikiti huwa wanatoa hiyo huduma
njoo tabata bima nitafute sempaye simba wa taranga mimi ni mtaalam wa shoto khan nia dani 12. bure
Ivi sempaye na sensei nani anastahiki hizo dani12 ... Usivamie taaluma za Watu km hujui eti sempaye simba...
Wakuu nauliza mahali wanapofundisha karate. Kuna kijana wangu nataka nimpeleke akajifunze. Ningependa iwe maeneo ya Ubungo lakini hata sehemu nyingine sio mbaya
ni PM no yako kaka/dada siku izi watu wanacheza wushu ni aina ya kung fu kwan karate aina nidham alafu nmi mchezo wa kizaman mi niko maeneo ya kibamba we si jui uko wapi karibu kwa wushu
Nipo Ubungo, Gharama yake ipoje kwa faida ya wengi? Kibamba maeneo yapi?
"Karate is like boiling water: without heat,it returns to its tepid state" Shihan Gichin Funakoshi.mkuu nimeweka hiyo kuunga mkono hoja yako kwani kuna wanaodhani kwamba kuna kufuzu baada ya muda fulani.Pia Funakoshi anaongezea "when you look at life think in terms of karate.But remember that karate is not only karate-it is life" kwa maana karate ni kwa siku zako zote za maisha hapa duniani.Martial arts haifundishwi kwa mihula kama shule ya sekondari! Ni process ambayo uwezo wako wa kuelewa na kumudu ufundishwayo ni kigezo kikuu katika kupata hiyo MIKANDA unayoitamani kama mkufu wa kununua dukani
Nidhamu yako, jitihada yako na umakini wako uwapo Dojo (darasani) ndiyo kileta MKANDA MWEUSI uutakao.
Free advice kama unautafuta mkanda huo kwa ajili tuu ya CV yako mtaani kutisha wenzio; TAFAKARI TENA..
taikwond ndiyo imesimaa mkuu ni mwendo wa mateke tu kwa kwenda mbele
hainaga kulemba sana wala kushikana wala kusogeleana mtu akikuletea shobo tu 2 second upo kichwani kwake au ushamvunja??
Haya makitu yana raha yake na yakikukorea ndiyo kabisaaa
Mkuu hebu tafuta habari ya hii kitu "KRAV MAGA"
Wakuu nauliza mahali wanapofundisha karate. Kuna kijana wangu nataka nimpeleke akajifunze. Ningependa iwe maeneo ya Ubungo lakini hata sehemu nyingine sio mbaya
Acha kuchangia kitu kama hujui.. Huu Uzi ni wa uweledi zaidi kuliko unavyodhani.
Kitu Gujuruu! wapi Sensei Turuka mkali wa Arusha.Nani yupo tayari kupiga kumite na mimi hapa hapa jamvini?
Huu...haaa...mastaaaaaKitu Gujuruu! wapi Sensei Turuka mkali wa Arusha.Nani yupo tayari kupiga kumite na mimi hapa hapa jamvini?