Mafunzo ya karate

Mafunzo ya karate

Foundation

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,420
Reaction score
611
Wakuu nauliza mahali wanapofundisha karate. Kuna kijana wangu nataka nimpeleke akajifunze. Ningependa iwe maeneo ya Ubungo lakini hata sehemu nyingine sio mbaya
 
Maeneo ya postaa karib na aga khan hospital kuna jamaa anaitwa ruta

Huyu jamaa namjua sana, yupo kituo cha Utamaduni cha Urusi. Alichonikera alisema anafundisha mara 3 kwa wiki.
 
Wewee Pale Rusian Culture ndipo wanafundisha karate ya ukweli na sio street Karate kama wanavyofundisha maeneo mengine.
Kuhusu mara3 kwa wiki hiyo inatosha kabisa kumfanya mwanafunzi kuwa fit kwani kila step anayofundishwa mwanafunzi anatakiwa aka'practice mwenyewe akiwa nyumbani.
 
nawashkuru kwa taarifa, je mpka kufikia mkanda mweus inaweza chukua mda gani? na bei yke ikoje?
 
njoo tabata bima nitafute sempaye simba wa taranga mimi ni mtaalam wa shoto khan nia dani 12. bure
 
nawashkuru kwa taarifa, je mpka kufikia mkanda mweus inaweza chukua mda gani? na bei yke ikoje?

Martial arts haifundishwi kwa mihula kama shule ya sekondari! Ni process ambayo uwezo wako wa kuelewa na kumudu ufundishwayo ni kigezo kikuu katika kupata hiyo MIKANDA unayoitamani kama mkufu wa kununua dukani🙂

Nidhamu yako, jitihada yako na umakini wako uwapo Dojo (darasani) ndiyo kileta MKANDA MWEUSI uutakao.

Free advice kama unautafuta mkanda huo kwa ajili tuu ya CV yako mtaani kutisha wenzio; TAFAKARI TENA..
 
nawashkuru kwa taarifa, je mpka kufikia mkanda mweus inaweza chukua mda gani? na bei yke ikoje?

Unashukuru kwa taarifa wewe ndio umeleta hii thread. Lugha yako inaonyesha kwamba nina multiple ID
 
Wewee Pale Rusian Culture ndipo wanafundisha karate ya ukweli na sio street Karate kama wanavyofundisha maeneo mengine.
Kuhusu mara3 kwa wiki hiyo inatosha kabisa kumfanya mwanafunzi kuwa fit kwani kila step anayofundishwa mwanafunzi anatakiwa aka'practice mwenyewe akiwa nyumbani.

Mkuu nimekupata nitarudi tena
 
asante mkuu, wushu?!!!!!

Mkuu wush, Taikwond n.k yanahitaji umri gani? Maana sasa kwa hali ilivyo inabidi tujifunze hayo madudu kwa ulinzi binafsi! Yaani mpaka Wabunge wanacharangwa kama nyama buchani? Hali siyo hali Kitaa!
 
Wakuu nauliza mahali wanapofundisha karate. Kuna kijana wangu nataka nimpeleke akajifunze. Ningependa iwe maeneo ya Ubungo lakini hata sehemu nyingine sio mbaya

Nenda lugalo jeshini au kwa junior pale Don bosco upanga.
 
Mkuu wush, Taikwond n.k yanahitaji umri gani? Maana sasa kwa hali ilivyo inabidi tujifunze hayo madudu kwa ulinzi binafsi! Yaani mpaka Wabunge wanacharangwa kama nyama buchani? Hali siyo hali Kitaa!

Mkuu hapo umenena
 
Back
Top Bottom