Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Acha uboya ndugu, tatizo unataka kujifanya unajua kumbe kapuku tuu....

Kaa pembeni wenye ronja zao wazilete au unataka kuongeza namba ya comments tu.
Usitake habari ambazo hazina ukweli ilimradi tu uwe umepata habari ..na cha muhimu zaidi control hicho kiherehere kitakucost siku za mbeleni niliemjibu alikuwa ni mwingine na tumeshaongea yakaisha sasa wewe yamekufikaje haya bwana mdogo?
 
Sasa kama ulijua inamhusu yeye peke yake kwa nini uliandika public si ungemuandikia PM. Jifunze dhima ya social network usiwe akili ndogo.
 
Tatizo unakurupuka sana angalia usije ukakurupuka kwenye shamba la mabomu hahahah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom