Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Updates zozote wakuu? Hao wajinga tuwaignore. Mamluki hata jamii forum wapo. Vema kutokupoteza muda nao.
 
depo hakuna mnajidanganya mwaka si umekatika no news mtasubiri sana wenye akili walishajiongeza
 
Taarifa Toka Makao Makuu Ya Jeshi La Kujenga Taifa( J K T ) Vijana Wote Waliomba Nafasi Ya Mafunzo Ya Kujitolea Katika Jeshi La Kujenga Taifa JKT Wapewe Taarifa Kuwa Kuanzia Tar 30-31 Mwez Huu Wapewe Taarifa Kuwa Wataarifiwe Kuja Mikoan Kwa Ajili Ya Kuondoka Kuanzia Tar 3-7 Mwez Ujao Ni Muda Wa Kuriport Makambin Waliko Pangia Kwa Ajili Ya Maandaliz Ya Koz Itakayoanza Tar 15 Mwez 9.. Ukipata Taarifa Hii Mtaarifu Na Mwenzako
 
Source
 
Hii taarifa imeshakanushwa.
 
no depo
1472387365723.jpg
 
Back
Top Bottom