The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Ndo nani huyo?Sawa mke wa isamhuyo
Ndo nani huyo?Sawa mke wa isamhuyo
hiyo taarifa imesambaa sana lakini ni mtu m1 alibuni akaanza kutumia wenzie ,washauri wa migambo wa mikoa weng wamekanushaTaarifa Toka Makao Makuu Ya Jeshi La Kujenga Taifa( J K T ) Vijana Wote Waliomba Nafasi Ya Mafunzo Ya Kujitolea Katika Jeshi La Kujenga Taifa JKT Wapewe Taarifa Kuwa Kuanzia Tar 30-31 Mwez Huu Wapewe Taarifa Kuwa Wataarifiwe Kuja Mikoan Kwa Ajili Ya Kuondoka Kuanzia Tar 3-7 Mwez Ujao Ni Muda Wa Kuriport Makambin Waliko Pangia Kwa Ajili Ya Maandaliz Ya Koz Itakayoanza Tar 15 Mwez 9.. Ukipata Taarifa Hii Mtaarifu Na Mwenzako
hiyo taarifa imesambaa sana lakini ni mtu m1 alibuni akaanza kutumia wenzie ,washauri wa migambo wa mikoa weng wamekanusha
uandishi wa taarifa wenyewe kwanza umejichanganya changanyaduuh na mm kuna jamaa yangu alinitumia kaniambia niulizie kama ina ukwel wowote
heheheh! You've got a nice name Odili Samalu from Chinua Achebe's novel book but the problem is you have an empty head "Poor you"Beyond doubt
Nenda tu jkt tu patakufaa
watu tupo vizuri mdogo wangu hahaha! nimekutoa ushamba leo....hii lugha ni ubunifu tu wa kucheza na maneno tehe tehe wanasheria wanalijua vizuri hilo nenoBeyond doubt
Nenda tu jkt tu patakufaa
Kumbe unajua ulichokiandika vizuri nlikuwa nakutega tu! Mimi ni Advocate of the High Court,heheheh! You've got a nice name Odili Samalu from Chinua Achebe's novel book but the problem is you have an empty head "Poor you"
You say that something is beyond doubt or beyond reasonable doubt when you are certain that it is true and it cannot be contradicted or disproved.
Jkt Unaenda Kufanya nn tena brother Njoo mjini tupige kazi Usisubiri Jkt, au Unapenda jktKumbe unajua ulichokiandika vizuri nlikuwa nakutega tu! Mimi ni Advocate of the High Court,
Heheheh! Kaka popote kambiJkt Unaenda Kufanya nn tena brother Njoo mjini tupige kazi Usisubiri Jkt, au Unapenda jkt
Ni Kweli sana!! Hongera Sana kwa kupata nafasi Nenda kajitahidi wengi wamekosa nafasi hizo!! Ukifika huko usichague Jeshi utajikuta muda umeisha unarudi nyumbaniHeheheh! Kaka popote kambi
Acha kumtia mwenzio uwoga,we chagua man jesh unalopendaNi Kweli sana!! Hongera Sana kwa kupata nafasi Nenda kajitahidi wengi wamekosa nafasi hizo!! Ukifika huko usichague Jeshi utajikuta muda umeisha unarudi nyumbani
hao ni walinzi kama walinzi wengineUsaili wa walinzi wa gesi umeanza majuz pale Ruvu jkt, hvi hawa waliosailiwa watakua kwenye aina gan ya jesh? kwa anae faham
Utarogwa kwa gadi mfululizokalimeni tu
wewe si ndiye mpiga msuli au?Kumbe unajua ulichokiandika vizuri nlikuwa nakutega tu! Mimi ni Advocate of the High Court,
Nowewe si ndiye mpiga msuli au?
Mkuu unauliza nn sasa huku ushasema usaili wa walinzi wa gesi anyway wanaweza kua usalama wa taifaUsaili wa walinzi wa gesi umeanza majuz pale Ruvu jkt, hvi hawa waliosailiwa watakua kwenye aina gan ya jesh? kwa anae faham
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaah watu mna ManenoSawa mke wa isamhuyo
Nilishindwa jizuia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaah watu mna Maneno
Jamaa una wivu wewe...kalimeni tu