Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Hongera Makamanda wote mliofanikiwa katika Usaili, inshallah Mwenyez Mungu awatangulie Mkafikie ndoto zenu... kila la heri wapambanaji wetu
 
Nashkuru sana mtoa uzi kwani kupitia uzi huu nilimfanyia mpango shemeji yangu na kesho kutwa J3 anaingia kambini kuanza kujitolea rasmi.
 
mafinga kamsalimieni CO,MKISI, vijana huku tunalitumikia taifa letu but kakomaeni huko baridi nomaaaah
 
jeshi ni nidhamu ya hali ya juu ukijifanya staa utaumia sana kikubwa wakati wakiwa kwenye kozi uvumilivu unatakiwa sana maana maovyo ovyo ni mengi mno na yanachukiza sana wasomi mnaojiita graduates kawekeni degree zenu na masters zenu kwenye matranka ukijifanya una elimu itakucost sana ndugu zangu mtafuta cha uvunguni shariti ainame
 
Wategemee mahovyo hovyo ya kufa kenge na maisha flani yatakayowafanya waweze kuishi sehemu yoyote

Aidha,wachunge sana afya zao,wasijeishia njiani
Mkuu ebu waibie Vijana Ronja kidogo, nini wategemee watapokuwa Vikosini
 
Wategemee mahovyo hovyo ya kufa kenge na maisha flani yatakayowafanya waweze kuishi sehemu yoyote

Aidha,wachunge sana afya zao,wasijeishia njiani
Vipi kuhusu misosi, ipo ya kutosha au???
 
Vipi kuhusu Mazoezi, ni Drills za Kijeshi za Kutosha au Kawaida?? Vipi Kuhusu Mabio?? Nini watarajie Kutoka kwenye Viwanja vya Damu vilivyo katika vikosi tofauti
 
Vipi kuhusu misosi, ipo ya kutosha au???

Misosi sana tu,chai mkate blue band ,karanga mbichi na yai kama break fast

Ugali mkubwa na nyama na mboga za majani mida ya saa kasoro

Wali maharagwe,chai na matunda jioni

NB:[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] yote hapo juu lazima uilipie
 
Wategemee mahovyo hovyo ya kufa kenge na maisha flani yatakayowafanya waweze kuishi sehemu yoyote

Aidha,wachunge sana afya zao,wasijeishia njiani
Fafanua kidogo kwenye suala la afya kaka
 
Misosi sana tu,chai mkate blue band ,karanga mbichi na yai kama break fast

Ugali mkubwa na nyama na mboga za majani mida ya saa kasoro

Wali maharagwe,chai na matunda jioni

NB:[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] yote hapo juu lazima uilipie
Heheheeeee ufafanuzi kidogo kwenye suala la kulipia, au ndio mida ya Uwanja wa Damu inapohusika.....
 
Kwamba kutoka JKT kuendelea kwenye vyombo vya ulinzi na usalama kama TPDF.Magereza,Polisi etc lazima afya yako iwe vizuri,usiwe na fractures na hiv status yako iwe clean

Otherwise utakuwa considered unfit for physical works
Oukey, so basically nikazie tu waangalie sana Status za damu zao zisije pata kile kirusi hatari nadhani unamaanisha hivyo......... waaziii
 
jeshi ni nidhamu ya hali ya juu ukijifanya staa utaumia sana kikubwa wakati wakiwa kwenye kozi uvumilivu unatakiwa sana maana maovyo ovyo ni mengi mno na yanachukiza sana wasomi mnaojiita graduates kawekeni degree zenu na masters zenu kwenye matranka ukijifanya una elimu itakucost sana ndugu zangu mtafuta cha uvunguni shariti ainame
Nimekuele wa sana mkuu tutajitahid kutembea katika mstari na MUNGU atusaidie
 
Back
Top Bottom