Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Jana morogoro tulifanyiwa usaili na mkuu Wa mkoa ulikua panel ya watu ka sita hv ukijumlisha mkuu wa mkoa, RAS, rpc, mkuu Wa uamiaji na watu wengine wa system ilikua balaa usaili ulikoma ucku sa tatu leo wengine wanaendelea
Usaili balaa kivipi mkuu
Kulikuwa Na maprofesa wanauliza maswali?

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Bado Tumesimika Magigi wewe Mchujo bado Ila Tu Hii game inahitaji ukimya Sana Hapa Ilipofikia .
 
Ivi kumbe mkoani kuna usaili tena ,mi nlizan unapita tu marisev ndo kamamhakuna nafasi wanapisha mchakato.huko mikoa mingine ilikuaje mtujuze
 
Unamaana gan jr
Nina maana kwamba watakao wafanyia usaili Ni Watu Kama wewe Tu na Ni sawa na wale WA wilayani isipokua kama wilayani interview ilikua kwa kiswaz , Regional interview Ni full Ng'eng'e so Ni wee kujimwaga genge lako kwa question yyte ile utakalo ulizwa na wakubwa .
Trust in God.
 
Back
Top Bottom