Ing'ang'a
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,866
- 1,284
Matokeo vipi Mkuu?Leo ndio watatoa matokeo mkuu mana Kuna watu Wanaendelea na usaili
Matokeo vipi Mkuu?Leo ndio watatoa matokeo mkuu mana Kuna watu Wanaendelea na usaili
Nimefanikiwa kupita mkuu tarehe 30 Kuna team ya makao mkuu wanakuja Kwa ajir ya vipimoMatokeo vipi Mkuu?
Mkuu anajua huyo ,Maswali yanayoulizwa Ni Yale yanayohusiana na Ulinzi na usalama PIA Sometimes maswali Yanakua very tricky kwa Interviewees/ Respondents ili kupima Understanding capacity yake, N.kMAKANYA jr msaidie kijana swali lake hilo.
Hongera Sana Mkuu.Nimefanikiwa kupita mkuu tarehe 30 Kuna team ya makao mkuu wanakuja Kwa ajir ya vipimo
Asante sanaHongera Sana Mkuu.
Kila kitu Kina change ukitegemea na Circumstances husika .Lile tangazo lilisema kufikia tarehe 20 may mchakato uwe umeisha vp tena tarehe 30 huko halijachupa mipaka au bado mule muleee
Ilitegemewa watalaam wa afya kutoka makao mkuu kuwasili mapema na j3 ambayo ni tarehe 9 ilitakiwa mchakato wa kupima afya uanze ila wakatuma barua kua mchakato utafanyika tarehe 30Lile tangazo lilisema kufikia tarehe 20 may mchakato uwe umeisha vp tena tarehe 30 huko halijachupa mipaka au bado mule muleee
Maswali gani yameulizwa kakaIlitegemewa watalaam wa afya kutoka makao mkuu kuwasili mapema na j3 ambayo ni tarehe 9 ilitakiwa mchakato wa kupima afya uanze ila wakatuma barua kua mchakato utafanyika tarehe 30
Maswali ya kawaida tu Kwa nn umeamua kujitolea, nn mategemeo yako baada ya kupita jkt, ukimkuta mtu kambini ameweka weka alama ya V (victory) utachukua hatua gan, kama una shahada na stashahada tegemea maswali mengi kuhusu ulichosomea mfano ila mara nying Kwa watu wenye shahada au stashahada za kilimo mfano kipi utakachokifanya kuhakikisha unaongeza jita kwenye uzalishaji mambo mengi tu kwenye cheti cha kuzaliwa ndo usiseme ukionekana umetengeneza cheti cha kuzaliwa miez ya karibuni ni shida pia muonekano wako uendane kabsaa na miaka Kuna mmoja alichukuliwa vyeti na kuojiwa cjui iliishajeMaswali gani yameulizwa kaka
Kukimbia ni usaili ngazi za wilaya mkuu háta sisi tulikimbia kawaida tuDaah Ilala noma yaani mnakimbia watu 50 wanachukuliwa 2
Nmekupata kiongozi ubarikiweMaswali ya kawaida tu Kwa nn umeamua kujitolea, nn mategemeo yako baada ya kupita jkt, ukimkuta mtu kambini ameweka weka alama ya V (victory) utachukua hatua gan, kama una shahada na stashahada tegemea maswali mengi kuhusu ulichosomea mfano ila mara nying Kwa watu wenye shahada au stashahada za kilimo mfano kipi utakachokifanya kuhakikisha unaongeza jita kwenye uzalishaji mambo mengi tu kwenye cheti cha kuzaliwa ndo usiseme ukionekana umetengeneza cheti cha kuzaliwa miez ya karibuni ni shida pia muonekano wako uendane kabsaa na miaka Kuna mmoja alichukuliwa vyeti na kuojiwa cjui iliishaje
Poa poa kaka kila lá kheriNmekupata kiongozi ubarikiwe
Kwahyo mmechukuliwa wangapi hapo baada ya kuhojiwa na hyo kamati??Poa poa kaka kila lá kheri
Cjapata data halisia mana walikua wanasoma majina kiwilaya una tegea masikio wilaya yako kusikia Jina lako ila Kwa wilaya yetu degree tumepita watu wawili tu mkuuKwahyo mmechukuliwa wangapi hapo baada ya kuhojiwa na hyo kamati??
Na mlkuwa wangap bachelor??Cjapata data halisia mana walikua wanasoma majina kiwilaya una tegea masikio wilaya yako kusikia Jina lako ila Kwa wilaya yetu degree tumepita watu wawili tu mkuu
Ila wamepunguza watu wengi kaka kwenye usaili pale kujiamni na kujibu unachokiwezaKwahyo mmechukuliwa wangapi hapo baada ya kuhojiwa na hyo kamati??
Hongera sana kaka and all the best ngoja tukapganishe hyo keshoIla wamepunguza watu wengi kaka kwenye usaili pale kujiamni na kujibu unachokiweza