Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Nna bp 120/80 wadau sjui iko poa au itazingua maana nshajipima kabisaa
 
Umejipima wapi?

Kama umeweza kujipima basi unaelewa whether hiyo BP ni physiological au pathological
Mkuu umeingiza mambo ya kitaalamu zaid hayo siez kuyajua .nmeendandispensari wakapimamwakanambianivo sa sjui kwa jeshi ni sawa au vp.ila dispensar wameniambia ni normal
 
Mkuu umeingiza mambo ya kitaalamu zaid hayo siez kuyajua .nmeendandispensari wakapimamwakanambianivo sa sjui kwa jeshi ni sawa au vp.ila dispensar wameniambia ni normal

Mkuu nilielewa vibaya kuwa umejipima mwenyewe gheto

Yaa ni normal hiyo BP(120/80 hadi 140/90)
 
Back
Top Bottom