Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

✍✍✍✍✍
 
Nawatakia safari njema wazalendo wote wanaotarajia kwenda makambini napenda tu kuwakumbusha suala la kuchunga na kulinda damu cuz kila hatua utakayokuwa unaenda ni lazima damu ipimwe, so njia pekee ni kutokumwamini mtu yyte katika safari hii ya kuelekea yale mliyoyakusudia
 
Kila la kheri, kumbuka nidhamu is everything to a soldier, kuwaheshimu maafande wako regardless of your literacy level ni silaha kuu katika kumaliza mafunzo yako. Usije ukaingia jeshini kwa kujaribu, jeshi litakushinda!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…